Mashabiki na wafuasi wengi wa Chadema hawapendi sana kukiri hili kuwa 'upepo wa Lowassa uliwafaidisha mno mwaka 2015'Momentum of Lowasa ndio iliwapa ubunge hata wasiostahili kuwa wabunge na madiwani kibao, ni ndoto kwa Chadema sasa hivi kupata kura millioni 8 za Urais hasa kwa huu utoto walioleta hata mimi siwapigii tena kura.
Tundu Lissu ni Muungwana sana.Hellow Tanganyika!!
Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa,
Alipoulizwa kwanini binafsi hakujiondoa kama Dr Slaa, amedai kuwa Dr Slaa alishiriki mchakato mzima wa kumleta Lowwassa mwanzo mwisho kama katibu mkuu,
Alipoulizwa kwanini hakuondoka CHADEMA, amedai kuwa Hiyo ni dhambi na kukiri dhambi ni jambo la kheri.
Nachukua fursa hii kumsamehe TUNDU Lissu, na rasmi nampa nafasi ya kuongoza chama na Nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Abarikiwe TUNDU Antipas Lissu.
Mungu ibariki CHADEMA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA.
Karibuni 🙏
Source: Mdahalo wa wagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, star Tv.
This Man is extraordinaryLissu amenyooka sana
Akisema kidogo tu wanadai hana siri....huyu jamaa anajua vitu vingi. Akivisema kama vilivyo Nchi itaangukaLissu: Mimi Nina kabba, na friji LANGU linagandisha, Kuna mambo nikiyasema hapa, watu watakimbia Nchi.
Hahaha....mbona mnaogopa?Ni jambo gn hilo Lissu hataki kuongea kisa sio mropokaji? Au n lile swala la mbowe kuhusika kwenye ile ishu ya Dodoma?
Atafika mbali sana. MUNGU hajalamilisha Mission yake hapa DunianiLissu ni mtu muungwana, mkweli na muwazi ndiyo maana wanaomuona kama mlopokaji.
Huyu ni kama Trump Donald the US president elect.
Ameen Mtumishi wa MunguKatika hili rasmi Sina dukuduku tena na TUNDU Lissu.
Namuunga mkono 95%
Nambariki pia Kwa safari yake ya matumaini.
Amina kwa jina la YesuKuna watu dunia hiii wamebarikiwa sana.
Mungu akulinde Tundu lissu
Lumumba fc na wewe uliwapa kura?😀😀Momentum of Lowasa ndio iliwapa ubunge hata wasiostahili kuwa wabunge na madiwani kibao, ni ndoto kwa Chadema sasa hivi kupata kura millioni 8 za Urais hasa kwa huu utoto walioleta hata mimi siwapigii tena kura.
Cdm hawahitaji kura yako. Lowassa kura alizikuta cdm acheni kutaka kumpa sifa asiyostahili. Kama aliweza kuwapa kura hizo 6m+ akiwa na miezi miwili, aliwapa viti ngapi akiwa na miaka miwili? Yeye Lowassa alitakiwa aje cdm na hao wabunge 50+ wa ccm, kitu ambacho alishindwa. Kwa sasa hivi hakuna uchaguzi tena, wanaweza vipi kupata kura 8m? Na kwa taarifa yako wala hakuna watu milioni 8 kwa sasa wanaojitokeza kupiga kura.Momentum of Lowasa ndio iliwapa ubunge hata wasiostahili kuwa wabunge na madiwani kibao, ni ndoto kwa Chadema sasa hivi kupata kura millioni 8 za Urais hasa kwa huu utoto walioleta hata mimi siwapigii tena kura.
Baada ya ujambazi wa ccm na washirika wake. Kura zote zinazopigwa hazifiki Milioni 8.Cdm hawahitaji kura yako. Lowassa kura alizikuta cdm acheni kutaka kumpa sifa asiyostahili. Kama aliweza kuwapa kura hizo 6m+ akiwa na miezi miwili, aliwapa viti ngapi akiwa na miaka miwili? Yeye Lowassa alitakiwa aje cdm hao wabunge 50+ ccm, kitu ambacho alishindwa. Kwa sasa hivi hakuna uchaguzi tena, wanaweza vipi kupata kura 8m? Na kwa taarifa yako wala hakuna watu milioni 8 kwa sasa wanaojitokeza kupiga kura.
Nan anaogopaHahaha....mbona mnaogopa?
Team Mbowe CcmNan anaogopa
Mm n team LissuTeam Mbowe Ccm
Hii Si Kweli,Mashabiki na wafuasi wengi wa Chadema hawapendi sana kukiri hili kuwa 'upepo wa Lowassa uliwafaidisha mno mwaka 2015'
Ila kutwa ni kulalama tu kuhusu ujio wake.
Rabbon Tindo JokaKuu zitto junior
Ni lissu aliyetuhabarisha kwamba kabla ya kumpokea lowasa walifanya utafiti kuona nani anachagulika kati ya Slaa na lowasa, wakapata majibu kuwa lowasa ndiye anachagulika.Dr Slaa angekuwa amemleta Lowassa CHADEMA angeweza vipi kukikimbia chama tena mbele ya waandishi wa habari?.
Mnafiiki Lissu, kipindi Lowassa akiwa amehamia upinzani alikuwa asubuhi anaonekana akielekea ofisi kwake mara nyingi tu, leo anadhani watu hawana rekodi zake, keshamgeuka Lowassa na Dr Slaa.Ni lissu aliyetuhabarisha kwamba kabla ya kumpokea lowasa walifanya utafiti kuona nani anachagulika kati ya Slaa na lowasa, wakapata majibu kuwa lowasa ndiye anachagulika.
Kusema Slaa alimleta lowasa, lissu kadanganya.
You don’t get the point. Unataja mishahara kama kipimo cha utajiri? Unafahamu “utajiri” wa Rais au Waziri wa Fedha au Waziri Mkuu hivi leo? Unafahamu utajiri wa JK?Unapingana na Lissu kwamba haikuwa dhambi kumleta Lowwassa CHADEMA?
Lowassa alikuwa msafi?
Utajiri alitoa wapi?
Unaweza kutajirika Kwa mishahara wa waziri mkuu?
Conclusion ni kuwa,You don’t get the point. Unataja mishahara kama kipimo cha utajiri? Unafahamu “utajiri” wa Rais au Waziri wa Fedha au Waziri Mkuu hivi leo? Unafahamu utajiri wa JK?
Kama Unafahamu linganisha na mishahara, posho na privilege zao zote halafu uje utuambie nani kati yao sio fisadi; nani msafi kwa mtazamo huo.
Certainly, Lowassa hakuwa msafi. Lakini hakuwa “shetani” kwenye nchi inayoongozwa na mfumo wa kifisadi!
Dhambi? CHADEMA sio dhehebu la dini. Uliza kama ulikuwa MKAKATI MBOVU au SAHIHI wa kisiasa kumleta Lowassa agombee uRais wakati ule.
Leo hii Republicans wamemkumbatia Trump pamoja na kwamba ana mizigo ya kukosa maadili, hana ustaarabu, janja za kukwepa kodi, kudanganya na kutozingatia tunu za kihafidhina (conservative values). Lakini Ana mvuto mkubwa sana kwa wapiga kura wengi. Halafu uwaambie habari ya DHAMBI kuhusu mtu wao!