Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Aliyesaini hiyo mikataba ni nani? Kwa maelekezo ya nani? Chini ya serikali ya chama gani? Iliyopitishwa na wabunge wengi wa chama gani?
Tena wakati Lowasa na Sumaye ni mawaziri wakuu, kwa nyakati tofauti.
 
Lakini kingwangala ameshawaambia kuwa lieu ni mteja wake na anaumwa uchizi. Hivi wakati watanzania wote wapo na jpm yeye anaona chadema itapotea kabisa bora aje na ngonjera zake. We lieu fara na bwege kabisa huna akili una akili za chooni
Lissu kawaambia mikataba ndio tatizo, kumtukana Lissu hakutawasaidia jengeni hoja.
 
Kwa hiyo mikataba ya madini inaruhusu kudanganya kilichopo??
Tumbo hunyonya damu ya ubongo!!
Jamani, kuna watu walikuwa wanapiga mishe haya makontena na wanachemsha huo mchanga maana dhahabu yake hauwezi kushika bila kuchemsha.
Hayana dhahabu kiivyo!
Ni hizohizo kilo tatu au pungufu wanazosema Acacia .
Sasa bakini na Mruma wenu, sisi ndio tuko kitaa .
 
Magufuri chonde angalia kwanza mikataba hii kijinga inasemaje pamoja na nia nzuri utatuingiza kwenye majanga tafadhali
 
I do agree 100% with Lissu on this,even me personally before once so called Investigation Comettee results delivered to President Magufuli I disagreeded completely that was a NULL and action.
This is due to Magufuli was a MP/a Minister for not less than TWO DEACADES(20 yrs) in the government of ccm knowingful all these National economics sabotage that was being done without even shout in/out side the Parliament.
Worst enough all these happenings was being done under ccm,and he was among too.
Watz.wenzangu hakuna asiyekuwa na uzalendo wa Taifa lake ila siyo kwa kutumia au kutafuta political popularity and political sympathy,with no any benefit gain.
Lastly withoul Legally actions taken to all privatization resources especially to all contarcts that have been signed by ccm leaders will take our country to fatal economic situation.
Great thinkers sh'd enlight small brains not to maniac political comedies I can say,without knowing the repucations and the mission of the movies also I can say.
My Take the ONLY solutions to all tregidies/catotrophics was being happening to our country is when ccm and all his leaders to stay aside and leave others to lead them and show them a good example.
For instance what Magufuli doing is to push a car while he's inside the car/a snake bite it's tail sothn that impossible or pushing the wall and all these now are called WORKS DONE = 0.
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa

!
!
Unajitahidi kupambana sana ila hoja zako dhaifu sana na ni irrelevant
 
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Naomba kifungu cha sheria ya mikataba ya madini mliyoipa NDIYO za vigelegele ili tukate mzizi wa fitina
 
Jamaa yangu tuko pamoja lakini hiki kiingereza sio cha nchi hii ,hiki kinapatikana wapi bro?
 
Mimi na wewe tunamaana moja ila tofauti miandiko tu,haihitaji cheti cha chekechea kujua ni kina nani waliotufikisha hapa ovious ni CCM asiye jua hilo akizaliwa tutamsimulia
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.Over
 
amin amini kila anachokifanya magu anampa credit Tundu lisu bila kujua. hakika mungu ni wa ajabu. ona sasa Magu kajifaragua na mchanga wa dhahabu, lakini Lisu kachukua point tatu bila jasho. kwa uzi huu magu hawezi tia mguu hata huko aliko anaugulia maumivu.
 
Then GOD have mercy on us
 
Itakuwa Kama kesi ya samaki aliowakamata alafu akashindwa kesi
 
Ni kweli lissu kipindi kile mpk wakamchania koti aisee!..leo watu wanajitia wazalendo kumbe ndio waliopitisha bungeni.ujinga mtupu.acha wanyooshwe ndio akili zitawarudia
 
kwa uandishi huu utakuwa unakojoa umechuchumaa. hata hivyo aksante kwa mchango wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…