Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa


Wewe usiye mpuuzi kama mrahaba ni 4% ya anachokipata anaposema anapata kidogo wakati anapata kingi tunaibiwa au hatuibiwi?
 
Hivi wewe, mtu ambaye kwenye asilimia Mia ana asilimia 96, wewe mwenye asilimia nne anakukwepa ili iweje ?

Mkuu..
hili swali zurii..huyo mpaka rangii hawezi lijibu..sababu aliletwa mjini kwaisanii ya jamaa mmja..
 
Spika:Wanaosema ndio?
C.C.M:NDIOOOOOO!
Spika:wanaosema sio?
Wapinzani:siooo!
Spika:wanaosema ndio wameshinda.
Ndio imetufikisha hapa hivi jamani niulize ni lazima uwe mnafiki wa kiwango cha uzamivu ili uwe Mwanasiasa hasa wa chama cha kijani?
 
Kama tukipigwa tutakoma penati maana tutakuwa tunakosa hata panado wanazosema ni bule hospitalini japo tunalipia
 
Mimi Kyle ni kwetu na Tundu Lissu mara ya kwanza kumuona ilikuwa ni huko na makala aanayoizungumzia ni MKAPA UNAYAJUA YA BULYANHULU namshukuru Mungu angalau nina kumbukumbu, lkn niseme kuhusu migodi Tundu Lissu na somebody Nshala kutoka Leat wanayajua mengi sana
 
Tatizo letu siasa zimetugawa na hii ni vita kubwa kuliko wengi wanavyodhani inahitaji Taifa lililoungana, Mungu ibariki Tanzania
 
Ila ww unaakili sometyms /nakfatliaga Sana...
Ila unajichetuagA akili tuu iv lumumba watakua wanalipa kwel kumbe(buk7)
Maana haiwezekani ikawa akili yako hii" naimani unaakili zaidi ya hizi sema utakagi kuzitumia tuu

Kwani imekuwaje hadi uandike hayo maneno!? Nimejisikia tu kukuuliza
 
Muda utaamua jambo hili. Tuseme asante kwa JF naamini kumbukumbu zitakuwepo
 
Mkataba una matatizo inawezekana lkn huo huo wenye matatizo utekelezwe kikamilifu. Kufanya uchungzi km tunapoteza kwenye kilichopo kuna kosa gani? Upungufu ulioonekana umechangiwa kwa kiasi kikubwa na usimamizi mbovu upande wa serikali ndio maana anawawajibisha.
 
ccm ndo walivyo, hata wanaloshangilia leo hawalijui. Magufuli kwa sasa ndo kipaumbele chao hivyo hata akiamuru lunch iliwe uani wao watashangilia tu. Na wengine watasema kuna harufu nzuri.
Utabiri ni haki yako kikatiba
 
Mahindi yameshaanza kuvunwa
 
Tatizo letu siasa zimetugawa na hii ni vita kubwa kuliko wengi wanavyodhani inahitaji Taifa lililoungana, Mungu ibariki Tanzania
Watu wawili kamwe hawawezi kukubaliana kwa 100% katika mambo yote...sembuse nchi yenye watu milion 45. Lazma tutafautiane mawazo. Kosa ambalo linalofanyika katika utawala huu ni kuaminishwa kwamba kila mwenye mawazo tofauti na Rais sio mzalendo...amehongwa..mpiga dili..mhaini n.k.

Kwenye hili jambo la madini....kitu kinachonipa maswali ni kwamba ripoti tumeona tu kile tulichosomewa kwenye TV. Ripoti yenyewe haijawekwa hadharani ili wadau waweze kuichambua na kisha kukubaliana nayo au kuipinga. Kuna nini humo ndani ya ripoti?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ile ya Samaki iliishaje? Hahaha, Mungu nakushukuru tu kwa kuzaliwa Tanzania, maana haya yote uliyajua kuwa ipo siku tutalimia meno ili kulipa fidia kwa wazungu.
Samaki walienda kwao empty handed
 
Kuna muda unaweza kutaman kulia hii nchi mambo yake . hiv na wale wabunge wa kusinzia na kusema ndiyoooooooooo nao wa na pongeza hii kitu wakat walipitisha sheria za ovyo kulinda rasimali zetu
 
Cha msingi tunaibiwa hata kama sio kwa kiasi kilichotajwa
 
Wengi wanajua ama kuhisi kuwa mikataba mibovu lkn kwa kuwa kuna ugumu kuireverse kuna ubaya gani hiyo hiyo mibovu kuhakikisha inatekelezwa kikamilifu for time being? So alitakiwa kusupport the current movement na urge mikataba kuangaliwa pia wakati ukifika.
 
Kira=kila.
Rumumba=Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…