Sasa kwa taarifa yako wewe mpuuzi kuna kipengele kwenye mkataba kinachosema kuwa kinachochimbwa chote ni mali ya mwekezaji na sisi tutaambulia mrabaha ambao kila mwisho wa mwaka mnapeleka wakaguzi. Pia kumbuka kuwa kule ndani ya migodi mna maagent kibao mlioweka huko.
Ule mkataba aliosaini mkuu wako wa miaka 100 ndiyo chanzo cha tatizo.
Wewe usiye mpuuzi kama mrahaba ni 4% ya anachokipata anaposema anapata kidogo wakati anapata kingi tunaibiwa au hatuibiwi?