Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Of course mchanga utaendelea kusafirishwa according to mkataba kinachotakiwa thamani yake iwe ya kweli ili hata kama tunalipwa mrahaba basi uwe sahihi.
 
Point ya msingi kwanini achafuliwe for 8 yrs baadae asafishwe? Kufungwa au kutokufungwa hakuna uhusiano.
 
Soon utaufyata mkia,report fake imeshtukiwa na kila mtu!Kumbe ni kutafuta kuungwa mkono tu!
Nikikumbuka samaki wa Magufuli na tulivyolipa fidia,siuoni mwisho mzuri katika hili!
Fidia umelipa lini wapi na kiasi gani? Acha uongo.
 
Watu wanashangilia kila kona juu ya mchanga wa dhahabu wakati hata mikataba yenyewe ni siri, hatujawahi kuoneshwa
Wewe nani uonyeshwe? Umeshaonyeshwa vingapi so far kabla ya kudai kuonyeshwa mikataba?
 
Kila ripoti inamruhusu kuchukua hatua Fulani.
 
No kwa comment kama hii wewe ndo tahira kweli kweli. Hivi ni kweli kuwa hujui kuwa imeibiwa kwenye sheria na mikataba mibovu na hii ni kazi iliyofanywa na ccm huku jpjm akiwepo? Kama hujui au kuamini hilo wewe ndo mwenye walakini?
Umeshindwa kujibu hoja..ameuliza hiyo mikataba inayodaiwa mibovu imeruhusu kudanganya kilichomo kwenye makini kia?
 
Watamalizia kwa kusema vita ya madawa haijawahi kumuacha mtu salama
 
Ww ndo chizi kwakuwa ni mpumbavu mtafuta kuonwa kwa kutetea ujinga unaambiwa sheria zetu ni ziro ndizi zimpazo upenyo mwekezaji ww huelewi na waliopitisha ni ma ccm bafo kichwa kigum au ww ni jambazi?jinga kabisa ww ,umekula mahatagwe gani?
Inawezekana ni kweli lkn kwa kuwa mkataba umeshasainiwa haurekebishiki kwa sasa kuna ubaya gani tukijaribu kuziba mianya hiyo ambayo haijahalalishwa bali ni loopholes tu?
 
Na kweli wewe ni Dumb wala hujakosea..Magufuli wakati kipindi hicho anasema Ndiyo mswaada wa madini upite alikuwa hajui faida na madhara yake? Au alikuwa anaunga mkono ilimradi tu bora liende?
Ajue asijue kwahiyo aache tu madhara yaendelee?
 
Kwahiyo wasitatue mpk ukawa waingie madarakani ndio watatue hata kama wao ndio walikosea?
 
Wewe mkolomije mnaibiwa vipi mchanga mnaoupa escort kuusafirisha?
Kusindikiza na kudanganya ni vitu viwili tofauti. Walinzi wanaosindikiza magari ya fedha wanajua kuna kiasi gani ndani yake?
 
Wamuachie nani lowassa na sumaye? Ambao hawahusiki na ccm?
 
Aliyesaini hiyo mikataba ni nani? Kwa maelekezo ya nani? Chini ya serikali ya chama gani? Iliyopitishwa na wabunge wengi wa chama gani?
Hujaulizwa aliyesaini bali umeulizwa unaruhusu kudanganya content ya dhahabu ndani ya makinikia?
 
Lissu kawaambia mikataba ndio tatizo, kumtukana Lissu hakutawasaidia jengeni hoja.
Kila mtu anajua hilo lkn hatakiwi kusema mkataba pekee ndio wenye matatizo ripoti ni ya uongo. Kwani mkataba pamoja na upungufu wake haujahalalisha kudanganya content
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…