Mrahaba unalipwaje kwenye thamani ambayo sio sahihi?Kwa hyo kwa wana ccm mnataka nini maana mikataba inasema walipe mrahaba tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrahaba unalipwaje kwenye thamani ambayo sio sahihi?Kwa hyo kwa wana ccm mnataka nini maana mikataba inasema walipe mrahaba tu.
Of course mchanga utaendelea kusafirishwa according to mkataba kinachotakiwa thamani yake iwe ya kweli ili hata kama tunalipwa mrahaba basi uwe sahihi.tatizo mijitu mingine utafikiri yanatoka usingizini ww umeambiwa hili tatizo la kuibiwa ni la kisheria tena na mikataba hii iliyowekwa ipo kisheria sasa ameweka angalizo pasije pakatokea tukaingia hasara kubwa kwa kulipa fidia kubwa na kimkataba hayo siyo madini yako ni yao maana mlishaingia mkataba na huo ndo kweli asiyetaka ni mda tu utaongea na huo mchanga mtausafirisha wenyewe kwa gharama zenu na hilo wakulaumiwa ni viongozi wenu waliojuu ya sheria!
Point ya msingi kwanini achafuliwe for 8 yrs baadae asafishwe? Kufungwa au kutokufungwa hakuna uhusiano.Huyo mnaemuita fisadi kilasiku nyie ma CCM, mnashindwa nini kumkamata na kumfunga ? Kila kitu mnacho serikali, polisi, mahakama na magereza pia. Kila mkiambiwa ukweli hoja yenu pekee mliyobakiza ni Lowassa fisadi, mfungeni basi au mumfilisi. Tumechoka !!
Fidia umelipa lini wapi na kiasi gani? Acha uongo.Soon utaufyata mkia,report fake imeshtukiwa na kila mtu!Kumbe ni kutafuta kuungwa mkono tu!
Nikikumbuka samaki wa Magufuli na tulivyolipa fidia,siuoni mwisho mzuri katika hili!
Wewe nani uonyeshwe? Umeshaonyeshwa vingapi so far kabla ya kudai kuonyeshwa mikataba?Watu wanashangilia kila kona juu ya mchanga wa dhahabu wakati hata mikataba yenyewe ni siri, hatujawahi kuoneshwa
Kila ripoti inamruhusu kuchukua hatua Fulani.Another primitive argument.....
Wewe unasema kuna kamati mbili au kumi au hata mià moja hazijatoa ripoti, iweje sasa baba yenu ameshaanza kutoa hukumu kwa watu kwa taarifa ya kamati ya kwanza tu !!!??
Prof. Muhongo, watendaji wa TMAA na wengine.....
Hizo ripoti zingine zinakuja na jipya gani ambacho hakijatajwa na kamati ya awali ?
Mimi nadhani Tundu Lissu yuko sahihi kusema, movu na ripoti hii ni purely politics iliyopakwa rangi ya "ripoti ya kitaalamu"...
Umeshindwa kujibu hoja..ameuliza hiyo mikataba inayodaiwa mibovu imeruhusu kudanganya kilichomo kwenye makini kia?No kwa comment kama hii wewe ndo tahira kweli kweli. Hivi ni kweli kuwa hujui kuwa imeibiwa kwenye sheria na mikataba mibovu na hii ni kazi iliyofanywa na ccm huku jpjm akiwepo? Kama hujui au kuamini hilo wewe ndo mwenye walakini?
Jibu hoja achana na maswali.kwanini inafichwa na kulindwa sana?.kwanini serikali ya ccm haiweki hadharani mikataba hii?
Utabiri ni haki yako kikatibaNaona umbali wa reli haufiki morogoro utaishia buguruni
Inawezekana ni kweli lkn kwa kuwa mkataba umeshasainiwa haurekebishiki kwa sasa kuna ubaya gani tukijaribu kuziba mianya hiyo ambayo haijahalalishwa bali ni loopholes tu?Ww ndo chizi kwakuwa ni mpumbavu mtafuta kuonwa kwa kutetea ujinga unaambiwa sheria zetu ni ziro ndizi zimpazo upenyo mwekezaji ww huelewi na waliopitisha ni ma ccm bafo kichwa kigum au ww ni jambazi?jinga kabisa ww ,umekula mahatagwe gani?
Ajue asijue kwahiyo aache tu madhara yaendelee?Na kweli wewe ni Dumb wala hujakosea..Magufuli wakati kipindi hicho anasema Ndiyo mswaada wa madini upite alikuwa hajui faida na madhara yake? Au alikuwa anaunga mkono ilimradi tu bora liende?
Kwahiyo wasitatue mpk ukawa waingie madarakani ndio watatue hata kama wao ndio walikosea?Nchi hii inavituko sana Magufuri amekua mbuge zaidi za miaka kumi amekua waziri miaka kumi Chama chake ndo kilichoingia mikataba ya kuihujumu Nchi tena swahiba wake Mkapa sasa heti leo nishujaa kuseamea mchanga CCM wanatengeza matatizo tena wanajifanya kuyatatua wajinga wanashangalia
Utachunguzaje bila kuzuia?Kuyazuia makontena si ni adhabu hiyo?
Ikitokea kamati ikashauri ifuatwe njia ya kisheria huioni stepu tuliyobugi?
Kusindikiza na kudanganya ni vitu viwili tofauti. Walinzi wanaosindikiza magari ya fedha wanajua kuna kiasi gani ndani yake?Wewe mkolomije mnaibiwa vipi mchanga mnaoupa escort kuusafirisha?
Wamuachie nani lowassa na sumaye? Ambao hawahusiki na ccm?Kuibiwa, tunaibiwa sana.... hakuna anayebisha !!
Kinacholeta shida na kutuudhi sisi wengine ni kuwa, hata hawa CCM ambao ndiyo waliosaini kuibiwa kwetu, wanajifanya kulia pamoja na sisi wakati wanapaswa wote kuwa wako jela akiwemo Magufuli mwenyewe !!!
Wangekuwa waungwana hawa, kuanzia Magufuli mwenyewe, hadi huku chini wangepaswa kuachia ngazi ktk kuongoza jahazi la taifa hili......!!
Hujaulizwa aliyesaini bali umeulizwa unaruhusu kudanganya content ya dhahabu ndani ya makinikia?Aliyesaini hiyo mikataba ni nani? Kwa maelekezo ya nani? Chini ya serikali ya chama gani? Iliyopitishwa na wabunge wengi wa chama gani?
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Kila mtu anajua hilo lkn hatakiwi kusema mkataba pekee ndio wenye matatizo ripoti ni ya uongo. Kwani mkataba pamoja na upungufu wake haujahalalisha kudanganya contentLissu kawaambia mikataba ndio tatizo, kumtukana Lissu hakutawasaidia jengeni hoja.
Wamuachie nani lowassa na sumaye? Ambao hawahusiki na ccm?