Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Lisu umebezwa, utabezwa, na kutukanwa sana. Ipo siku ukweli uusemao utajidhilisha na historia itakuwa upande wako.
 
Mikataba ni mibovu hata magufuli amewahi kutamka lkn umeshasainiwa hivyo anahakikisha for time being inatekelezwe ipasavyo.

Hatua gani zimechukuliwa kwa hao walio saini hiyo mikataba mibovu? Hata mimi sijapenda njia anayotumia Lissu kuonyesha udhaifu wa waliotuingiza kwenye hii mikataba kwa sasa, ila wanaccm kujigeuza ni wazalendo huku kuna mikataba mibovu ya halali ya mrahaba wa 3% ni wendawazimu.
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Hili lisu alikwisha liongelea wapuuzi ninyi mkalikataa sasa ww unatoa kinyesi gani mdomoni huna faida Tanzania. Hapa si lowasa hapa ni nyie wajinga wachache mnatuliza
 
Huyu ndiye mpiganaji wa ukweli sio yule mwingine anayetafuta kick kwa kufukuza mawaziri huku akijua tatizo lipo kwenye mikataba
Acheni siasa katika mambo ya msingi kipind cha JK tulikua tunasema JK mpole hana maamuzi Leo kaja Mzee wa hapa kazi tu tena tunalaumu.sisi ni watu wa aina gani? ?
 
Nafikiri kuna umuhimu wa kuiunga mkono Serikal ya Hapa Kazi Tu, president Magufuli yupo vizur sana mzee safisha nchi tupo pamoja na wewe
 
jamani mnatuchanganya ivi tumwamini nani sasa...sie tunataka tufaidike na mali asili zetu tufanyeje tufaidike?kila upande unaongea makubwa
 
Hakuna mtu anaeweza kukushitaki kwa kutaka kufanya audit ya mali zako mwenyewe kweye kutafuta uhalali wa malipo unayopewa; mkataba wa kuuziana umeme sio sawa na mkataba wa madini. Maliasili na kila kitu kilichomo siku zote vinabaki kuwa ni mali ya nchi (ukitoa machine).

Mwekezaji anachimba kwa niaba ya nchi siku zote, mgawanyo wa mapato na kodi zinalipwaje hilo ni swala lingine technical ambalo watu waliingizwa mkenge unfortunately you cant change those terms easily.
 
Kama kweli kuna kiasi hicho kikubwa cha madini kwenye huo mchanga....naishauri Serikali yetu tukufu iununue huo mchanga woooote yenyewe ndio ifaidike. Na endapo itashindwa sisi kama wananchi hatutoiamini report ya tume na tutaitilia mashaka na ipo kwa ajili ya cheap popularity...
I always think twice for the issue or activities initiated by ccm because it has no capability to prove the truth
 
Trol JF njoo, Lizaboni njoo, cocochanel njo, & Co. Ltd.
Nashindwa kuwaelewa watanzania wenzangu, kweli Tuna mapenzi n'a nchi yetu au vyama vyetu ?
TL anachoeleza ni jinsi nchi ilivyoibiwa, inavyoibiwa natutakayo ibiwa kutokana na mikataba. Sasa wewe una mtukana, unahamisha mada unaingiza mambo y'a Lowasa hapa ?

Tusimame kama watetezi wa nchi, tusikubali kuvurugwa n'a hawa watu wachache wanaotetea watawala kwa gharama yeyote.

Lisu anaongea kile wananchi wanachotaka kukisema, wengine wanaongea kile ambacho watawala wanataka kukisikia. Mimi Nipo upande wa Lisu.
Hilo lipo wazi kwa wafuatiliaji......nakumbuka jamaa alivyokuwa anapewa ulinzi na wananchi badala ya polisi wakati anapambana na hawa wazungu..........Zitto Kabwe alitimuliwa Bungeni kisa ishu ya madini......wakati haya yanatendeka ni kweli wanaofoka Leo walikuwa bungeni wakishabikia kumsulubu Zitto.
 
Kama kweli kuna kiasi hicho kikubwa cha madini kwenye huo mchanga....naishauri Serikali yetu tukufu iununue huo mchanga woooote yenyewe ndio ifaidike. Na endapo itashindwa sisi kama wananchi hatutoiamini report ya tume na tutaitilia mashaka na ipo kwa ajili ya cheap popularity...
I always think twice for the issue or activities initiated by ccm because it has no capability to prove the truth
How accurate is the report is another matter; lakini serikari inakila sababu ya kuweza kufanya verification na hakuna shida yeyote.
 
kwa hiyo kama huyo Tundu aliongea zamani iishie huko sio? Mimi huwa siyapendagi sana masomo ya sheria maana kwa historia chimbuko lake ni kukutea matajili. refers madawa ya kuleva nk.
Acacia mchukueni tu Tundu maana hapa ndo nakiona anakitafuta. kwanza kupigania taifa ashachoka na alishajoin na wahujumu uchumi longi tu
 
Mbona anamshambulia JPM kuwa anajua alikuwa upande upi kipindi mikataba inasainiwa lakini hawataji mawaziri wakuu walioshiriki kama wakuu wa serikali ambao wapo nao huko Chadema? ....

Hahahaaaa na kweli!
 
Najiuliza sana swali dogo tu kila nikiona post ya Lisu kiufupi nasubiri apost kuwa amepima yeye au kashuhudia upimaji wa huo mchanga na kajiridhisha kuwa hatuibiwi,nitamuelewa sana,tofauti na hapo aendelee kusoma takwimu na historia kwenye makaratasi hadi pale atakapo ikomboa nchi kwa takwimu na sheria


Sidhaninkama amesema hatuibiwi katika mchanga bali amesisitiza kuwa tunaibiwa katika sheria! Mbali na kumshambulia TL mnajiuliza kweli nibnani aliyeruhusu huu mchanga kutoroshwa nje? Kweli?
 
Inawezekana ni kweli lkn kwa kuwa mkataba umeshasainiwa haurekebishiki kwa sasa kuna ubaya gani tukijaribu kuziba mianya hiyo ambayo haijahalalishwa bali ni loopholes tu?
Kama jina namna hiyo sawa lkn kumbuka wale wazungu wanafanya hivyo kwa kiburi ila kuna upitishwaji wa sheria za kijinga na hao wabunge wa ccm kwa wingi wao na pia ndo madarari wa hao wanaojiita wawekezaji msg nchi hii mpaka kufika hapa tulipo ni ccm maumivu na shida hizi zote ni hao jamaa watakamatana sana lkn wamesha haribu kwa aslimia 98 na hata leo hii wake jamaa hatutawashinda ktk sheria tulizojitungia wenyewe bado kuna shida kubwa ww kama ni maslah angalia hata wabunge waliopelekwa Africa mashariki toka tanzania ndo utajua uzuzu wa wabunge wa ccm, kifupi tunashida bado.
 
Back
Top Bottom