Muwe mnasoma na kuelewa, lakini Lissu amewatakia heri kama hamtaki kuelewa:
1. Anawaambia nyinyi MaCCM mabashite...nchi hii hatuibiwi kwenye mchanga, tunaibiwa kwenye sheria...so cha kuanza nacho ilikuwa ni kubadili sheria siyo kukamata mchanga ambao umepitia hatua zote kusafirishwa...Lissu anasema a smart president angeanza na sheria
2. Pia ACACIA katika taarifa zao wanasema kama kiasi cha dhahabu kilichokamatwa ni kingi kama Magu alivyoitangazia dunia basi ina maana migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi( hiyo miwili tu) ingeifanya kampuni ya ACACIA kuwa the biggest gold producer in the world kuliko kampuni kama AngloGold inayomiliki migodi 19 ya dhahabu duniani...na basi Tanzania ingekuwa the largest gold producer in the world...sasa kinachotokea wameomba wapatiwe report hiyo lkn serikali na Sizonje wameingia mitini
3. Lissu anasema report ya Profesa Mruma ni pumba tupu na haiwezi kuchukua hata nusu saa kuwa rubbished under serious scrutiny...and he is right; tayari taarifa chache tu za ACACIA kwa wanahisa wao zinaonekana zina credibility kuliko huu circus ya Sizonje na wale waalimu wake wasahihishaji wa mitihani ya wanafunzi pale Mlimani.
MUDA NI MWALIMU MZURI SANA...MSIJE MKAKIMBIA NA TAFUTENI DAWA YA MARADHI YA MOYO MMPE SIZONJE MAANA...what I see, he is heading for a car crush....ANYWAY, sikio la kufa halisikii dawa!