Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Cha msingi tunaibiwa hata kama sio kwa kiasi kilichotajwa
mikataba/makubaliano yanastipulate pande itakayoona hairidhishwi na jinsi mkata unavyokuwa performed iende kwenye mahakama iliyokubaliwa na sio kuita makamera na kuanza kuitana wezi...kesi ya kwanza ni defamation
 
Swali dogo tu Lissu kalime hii mchanga,hakuna anayekataa kuhusu hiyo mikataba ni mibovu lakini kwa hiyo hiyo mikataba mibovu bado wanadanganya kiasi wanachochimba,msibadilishe maneno,swali ni dogo tu Lissu kapima huo mchanga
 
Kamati imeundwa imshauri. Ikimshauri aombe msamaha sawa. Hakuna kubugi kokote bali taifa litakuwa limeufunga mjadala wamakinikia na kuendelea na mengine kama taifa.
Kihelehele chenu cha kumuingilia ni upuuzi wa kupuuzwa kwa nguvu zote.
Ungekuwa unajua maana ya neno "kumuingilia" ungeficha ujinga wako.
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Hizo mahakama za mafisadi bado tuu?
 
Hivi Yale mankontena ya mchanga. wale majamaa wakiyazila makufuli atayapeleka wapi?
 

Ndiyo hekima uliyotumia kucomment. Omba Mungu akupe hekima kama unavojinadi kwenye avatar yako. Ni asiependa kuelimishwa tuu ataona alichokiandika mh.Lisu hakina maana. Wengi tunamshukuru kwa kutoa mwanga mpana kisheria kwa wananchi. VIVA Lisu!!!
 
KUNA HAJA MHESHIMIWA RAIS, KUWEKA SIASA PEMBENI NA KUMTUMIA MH. TUNDU ANTIPAS LINDU LISU KWENYE MAMBO HAYA, MANAKE SIJAONA WAZIRI KABUDI AKISEMA JAMBO KATIKA SWALA HILI. INAONEKANA MH. LISU ANAJUA ANACHOKISEMA NA HATA UKISOMA POST YAKE UNASHAWISHIKA KUAMINI KUWA KUNA JAMBO LITATOKEA AMBALO NI BAYA KUZIDI HILI, NI WAZI KAZI MH. RAIS WETU NZURI SANA SANA LAKINI NAMSHAURI AJARIBU KUANGALIA PIA MAWAZO YA WADAU KAMA MH. LISU N.K


~Ramadan kareem!!
 
Ungekuwa unajua maana ya neno "kumuingilia" ungeficha ujinga wako.
Hiyo maana inayotokana na muktadha wanaoujua wazazi wako tu na kukufundisha wewe haunihusu.
Muktadha nilioutumia,neno hilo linawasilisha nilichokikusudia.
 
Nijuacho mimi Tundu Lisu hua ni mtafuta sifa kwa uwezo wa kupanga maneno tu.ila Rais Magufuli ni mpigania haki wa kweli,mwenye hasira na maneno yangu hana sababu ya kunijibu bali aende duka lolote atafute viwembe kama 20 hivi avikatekate vipande vidogo vidogo ameze na glass ya maji kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…