JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kwamba Magufuli ndie alikuwa anawatetea Barick huku Lissu akiwatetea watanzania?..hakuna mtu amewatetea barrick kama Magufuli.
..serikali ilisema inawadai barrick usd 191 billion.
..kitu cha ajabu deni likateremshwa mpaka kuwa usd 300 million.
..yaani ni sawa na udai shilingi 630+ halafu ukubali kulipwa shilingi 1, tena ulipwe kidogo kidogo.
Sijaelewa hapa.