Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Angalau wewe unajaribu kunishawishi kidogo.

Lakini kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Kwanini Tume ya uchaguzi ya Taifa NEC inashirikiana na maccm kuwahujumu watanzania ?

Ukijibu hilo swali utakuwa unepata majibu ya swali lako.
 
Mpaka sasa hivi Barick wapo na mikataba yao ni siri, Lisu ndio kaagiza waendelee kuwepo na mikataba yao ifichwe?
Mikataba ipo wazi na imeshasomwa mara kibao. Ni wewe tu hutaki kuisoma.
 
Angalau wewe unajaribu kunishawishi kidogo.

Lakini kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Hivi unataka majibu au una lako jambo? Lissu hakuwa Wakili wa Barrick. Kwanza alikuwa akitaka kumwakilisha yule Mwanyika wa Acacia aliyewekwa ndani kwa uhujumu uchumi na madai ya acacia kukwepa kodi na kwamba ni kampuni ambayo haikusajiliwa.
 
Naomba majibu ya hili swali Hadi leo sijapata.

Kwa nini Lissu alikiwa anawetetea Sana Barick na kutishia kwamba tutashitakiwa? Alikuwa na nia ya dhati kweli ama alikiwa anatetea ulaji wake tu? Ama ilikuwa sehemu ya Siasa kwamba ukiwa upinzani lazima upinge kila Jambo?

Nikijibiwa nikaelewa basi kura yangu kwake.
Walikuwa wanamuhonga pesa nono.
 
Aliwateteaje kwani??? Fafanua
 
images.png

Magu aliogopa jamaa watakuja huku ☝️..ndio maaa ameua soo.. Lissu aliwafundisha kama wanataka kuwashitaki wajitoe MIGA...
 
Hebu tuwekee vyeti vyako vya uchumi hapa na yale uliyofanya kukuza uchumi wa nchi
Nyumbu akiingia mwenye mdomo wa mamba ndo hustuka,Vyeti vyangu Mimi havitoweza kukutoa unyumbuni Kama uliweza amini mtu uliyetuaminisha ni fisadi miaka karbu 10 Kisha kugeuziwa gia za angani na kuanza kumnadi basi ni kwa kudra tu za muumba ndo ztawaokoa,Ila mabwana mnaomfata huyo mtu na chama chake kwa kweli milembe itanuliwe iongeze watu wa kutibiwa
 
Tumalize kwanza la Lissu afu tuje la Mwanyika.

Tusifiche hoja kwenye hoja nyingine.

Kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Naomba jibu.
Thread Kama hizi wanachangiaga kwa jazba pasipo kutoa majibu.
Wakimaliza la barick watuambie kwa nn wanapenda kuwatetea mafisadi wakichukuliwa hatua na Serkali chini ya JPM?

Kwann walikua wanamtetea yule kaburu la Africa kusini?
Ukweli ni kua Hawa jamaaa tumewachokaaa
 
Tumalize kwanza la Lissu afu tuje la Mwanyika.

Tusifiche hoja kwenye hoja nyingine.

Kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Naomba jibu.
Alikuwa mshauri wa kisheria wa ACACIA sio Barick
 
Mbona mambo ya Lisu yamekua sana mbele kuliko ya Magufuli yani mi hadi natamani ni vunje cm nyie mataga si mlisema Magu aliwin over Barric sa mbona mnatia tia huruma tena mbona mna tia aibu yaani ukifungua jf kila mda ni Lisu hivi mara Lisu vile hebu na nyie jiongezeni bhana.
 
Tumalize kwanza la Lissu afu tuje la Mwanyika.

Tusifiche hoja kwenye hoja nyingine.

Kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Naomba jibu.

..barrick hawakuhitaji wakili.

..bosi wao alikwenda moja kwa moja ikulu magogoni.

..baada ya hapo deni la usd 191 billion likateremshwa mpaka kuwa usd 300 million.

..wanalipa kidogo kidogo wanavyotaka wao, mpaka leo barrick hawajamaliza kulipa deni hilo.
 
Back
Top Bottom