JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Angalau wewe unajaribu kunishawishi kidogo.Wakili ni wakili tu,ana ingia pande yeyote mradi fukie bei anayohitaji.
Lakini kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau wewe unajaribu kunishawishi kidogo.Wakili ni wakili tu,ana ingia pande yeyote mradi fukie bei anayohitaji.
Serikali ya ccm wakati Magufuli akiwa mmoja ya wabunge.
My youngster, you have a chance to answer my question or start your own thread. The platform is for free.How can any logical person think we can survive another five years or more of that dude from the green?
Kwanini Tume ya uchaguzi ya Taifa NEC inashirikiana na maccm kuwahujumu watanzania ?Angalau wewe unajaribu kunishawishi kidogo.
Lakini kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Wengine wote wananiona mweusi wewe peke yako unaniona mweupe duh...naona utakuwa umenifananisha...anyway karibu nikutibie buuuree kabisaDuh. Wewe tukutane kwenye jukwaa la Waganga wa kienyeji huku uko mweupe.
kwani alikuwa wakili wao?Kwa sababu yeye ni Wakili,
Hata mawakili wa serikali huwa wanawatetea wauaji.
Anzisha uzi nakuja kukujibu hukohuko.Kwanini Tume ya uchaguzi ya Taifa NEC inashirikiana na maccm kuwahujumu watanzania ?
Ukijibu hilo swali utakuwa unepata majibu ya swali lako.
Mikataba ipo wazi na imeshasomwa mara kibao. Ni wewe tu hutaki kuisoma.Mpaka sasa hivi Barick wapo na mikataba yao ni siri, Lisu ndio kaagiza waendelee kuwepo na mikataba yao ifichwe?
Hivi unataka majibu au una lako jambo? Lissu hakuwa Wakili wa Barrick. Kwanza alikuwa akitaka kumwakilisha yule Mwanyika wa Acacia aliyewekwa ndani kwa uhujumu uchumi na madai ya acacia kukwepa kodi na kwamba ni kampuni ambayo haikusajiliwa.Angalau wewe unajaribu kunishawishi kidogo.
Lakini kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Walikuwa wanamuhonga pesa nono.Naomba majibu ya hili swali Hadi leo sijapata.
Kwa nini Lissu alikiwa anawetetea Sana Barick na kutishia kwamba tutashitakiwa? Alikuwa na nia ya dhati kweli ama alikiwa anatetea ulaji wake tu? Ama ilikuwa sehemu ya Siasa kwamba ukiwa upinzani lazima upinge kila Jambo?
Nikijibiwa nikaelewa basi kura yangu kwake.
Aliwateteaje kwani??? FafanuaNaomba majibu ya hili swali Hadi leo sijapata.
Kwa nini Lissu alikiwa anawetetea Sana Barick na kutishia kwamba tutashitakiwa? Alikuwa na nia ya dhati kweli ama alikiwa anatetea ulaji wake tu? Ama ilikuwa sehemu ya Siasa kwamba ukiwa upinzani lazima upinge kila Jambo?
Nikijibiwa nikaelewa basi kura yangu kwake.
Umetumia rationalization.Kwa sababu yeye ni Wakili,
Hata mawakili wa serikali huwa wanawatetea wauaji.
Nyumbu akiingia mwenye mdomo wa mamba ndo hustuka,Vyeti vyangu Mimi havitoweza kukutoa unyumbuni Kama uliweza amini mtu uliyetuaminisha ni fisadi miaka karbu 10 Kisha kugeuziwa gia za angani na kuanza kumnadi basi ni kwa kudra tu za muumba ndo ztawaokoa,Ila mabwana mnaomfata huyo mtu na chama chake kwa kweli milembe itanuliwe iongeze watu wa kutibiwaHebu tuwekee vyeti vyako vya uchumi hapa na yale uliyofanya kukuza uchumi wa nchi
Mikataba ipo wazi na imeshasomwa mara kibao. Ni wewe tu hutaki kuisoma.
Thread Kama hizi wanachangiaga kwa jazba pasipo kutoa majibu.Tumalize kwanza la Lissu afu tuje la Mwanyika.
Tusifiche hoja kwenye hoja nyingine.
Kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Naomba jibu.
Kama kazi ya uwakili angeifanya mahakamani, bila kuathiri siasa na malengo ya nchi.Hilo jibu Tosha
Thread closed
Alikuwa mshauri wa kisheria wa ACACIA sio BarickTumalize kwanza la Lissu afu tuje la Mwanyika.
Tusifiche hoja kwenye hoja nyingine.
Kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Naomba jibu.
Tumalize kwanza la Lissu afu tuje la Mwanyika.
Tusifiche hoja kwenye hoja nyingine.
Kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Naomba jibu.