Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Kwamba Magufuli ndie alikuwa anawatetea Barick huku Lissu akiwatetea watanzania?
Sijaelewa hapa.
 
Sidhani kama kura yako ni muhimu kwake kiasi hicho
 
Simple tu bwana lisu ni mbwatukaji tu
Hana ajualo ktk Mambo ya uchumi Wala uongozi.

Hivyo walomuamini ktk like sakata wakapimwe akili
Hebu tuwekee vyeti vyako vya uchumi hapa na yale uliyofanya kukuza uchumi wa nchi
 
We ni miongoni wa wale walomuamini lisu eeeh.

Punguza unyumbu brother,next time utatumbukizwa shimoni ujue Kama hujui lolote ndani ya nchi hii.

Utakua Katika kundi linaloamini Lissu ndo Rais wako baada ya 28/10.
Bila Shaka atakua Rais wa nyumbu
Behind the keyboard with fake username you can write anything no matter how valueless it is...
 
Mnaongeaga kama Wapuuzi lkn Kweli ni Wapuuzi

Kwani Barrick hawastahili kutetewa? Makamu Rais wa Barrick Deo Mwanyika mliyedai ni Mhujumu Uchumi na Mkashitaki kwa Makosa 90 leo si ndo Mgombea wa Magufuli Njombe Mjini, na si ndo Magufuli atafika kumfanyia Kampeni achaguliwe?
 
Kwanini serikali ya ccm ilikubali unyonyaji wa barrick?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Tumalize kwanza la Lissu afu tuje la Mwanyika.

Tusifiche hoja kwenye hoja nyingine.

Kwani Lissu alikuwa wakili wa Barick?
Naomba jibu.
 
Duh! Kumbe bado hata haujui? Kwanza siyo Barrick, anzia Acacia. Barrick ilitumika kuiokoa serikali kwa kuinunua Acacia, na serikali ikaachana na madai dhidi ya Acacia ambao walikuwa radhi kwenda Miga.

Wengi wenu mpompo tu hamjui kinachoendelea zaidi ya ushabiki.
 
Kwamba Magufuli ndie alikuwa anawatetea Barick huku Lissu akiwatetea watanzania?
Sijaelewa hapa.

..aliyewapunguzia deni Barrick toka usd 191 billion mpaka usd 300 million ni Magufuli.

..yaani ni sawa na kudai usd 636 halafu ukubali kulipwa usd 1. Na hata hiyo usd 1 unalipwa kidogo kidogo.

..kwa hiyo mtetezi mkuu, na kibaraka, wa barrick hapa Tanzania ni John Pombe Joseph Magufuli.
 
Wakili ni wakili tu,ana ingia pande yeyote mradi fukie bei anayohitaji.
 
How can any logical person think we can survive another five years or more of that dude from the green?
 

Mpaka sasa hivi Barick wapo na mikataba yao ni siri, Lisu ndio kaagiza waendelee kuwepo na mikataba yao ifichwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…