Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Kweli majuha wangi wengi. Tunakusubiri uje utujibu hapa hapa muda c mrefu. Ucje ukakimbia kwasababu nyie wanaccm akili hakuna kabisa
 
ccm kafanyeni kikao muwaite kina mzee mkapa na wenzake waungame waliombe razi taifa tuweke katiba ya babu warioba tuanze moja coz mwisho wa siku tanzania ni yetu sote na itabak kua tanzania tu ccm kubalini ya ishe mariziano ndio kilakitu kuliko kua watumwa wa fikra za makuwadi wa rasilimali zetu Tundu Lissu anauchungu sana jinsi wantanzania wanavyo onewa
 
Tulishauzwa jamani na hawa maccm
 
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Ccm bana kwa hiyo tundu lisu akikuwa wanafanya kazi serekalini?au alipiga kura ya ndio bungeni?
 

Ajamzidi mwenyekiti wako kwa umbumbumbu.
 
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Kaka Rutta, je tuendekeze siasa hata kwenye ukweli hadi lini?
 
Huo ndiyo ukweli kiufupi ni wanafiki wakubwa maana walikuwa bungeni wakipitisha sheria za madini kwa kupiga makofi na vigeregere
 
Lissu vita sio kupiga kelele ni mbinu laiti kama magu angekua nimpiga kelele kama wewe nakuweka msimamo wake hadharani Leo asingekua rais na wewe kwa kelele zako hizo hupewi urais
 
Nyabhingi, kama nilivyosema kwenye moja a posts zangu kwenye uzi mmoja unaohusu haya mambo ambayo ndiyo talk of the town kwa sasa, bado nashangaa wasomi wote waliokuwa kwenye tume na wengineo kushindwa kuichambua ripoti ile kwa weledi mpaka sasa. Yani mjadala sasa sio tena kama tunibiwa au la...bali figures za ripoti kuwa so exorbitant kiasi cha kudefy common sense. Why jamani? Why?
Na hili liwe fundisho kwa JPM kuwa hizi title za sijui Dk au Prof azitazame upya kwenye teuzi zake. Kama mtu ametumia miaka yake mingi kufundisha badala ya kupractice hawezi kuwa na msaada linapokuja suala la utaalamu unaohitaji watu wenye uzoefu wa hands-on kwenye issue fulani. Prof Mruma na wenzake wataleta aibu ya mwaka kwenye jumba letu jeupe
 
Tofauti yako na TL, na ambayo ni ya msingi sana hapa, ni kwamba wakati TL anajadili kitu anachokifahamu ndani na nje, wewe unajadili bila facts zozote za maana zaidi ya ukereketwa, basi!
 
Well said. Tujipange, ushabiki wa kimaimuna hautatusaidia.
 
We Mhaya hopeless and useless, stop ad homine arguments, stop arguing by character assassination. ametoa hoja jibu hoja. Matusi hayajibu hoja! Utaahira unatoka wapi?
Tatizo hajitambui na elimu hana huyo mnyarwanda
 
Ninawashangaa watanzania jinsi tulivyo. Tunakubali kudanganyika kwa mambo ya hovyo kabisa. Prof. Sossy angefanya nini wakati mambo yote yalijulikana na kutendeka kwenye 3rd na 4th presidency? Hata kwenye obc kule loliondo standard katabalo alikufa kifo cha ajabu ajabu kwa kuandika juu ya obc. We are still alive those of us who know what happened. Ndo maana mie nasema hakutatokea hata siku moja mtu yeyote aliyeko ccm akawa msafi hata kidogo. Wote hawana tofauti na manyang'au
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Jiongeze kiakili. Hili ni suala zito. Kama huna uwezo wa kuchambua kaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…