Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Neutral and Independent verification haikwepeki kama tunataka ukweli.
Ukweli utakuweka huru
Tangu lile sakata la samaki lililosababishia nchi hasara ya mabilioni, naogopa kushabikia mambo nisiyofahamu kama tulivyofanya wakati ule.
 
Jamani eee!!! aliyeianzisha hii vita ni Mh Magufuli na kajipangia namna ya kuipigana. Kaunda kamati mbili za kumshauri. Kamti ya kwanza imetoa majibu na maoni bado ya pili.
Kutletea maoni ya huyu mwehu humu ni kutuchosha sana. Maprofesa na madokta washeria na uchumi wamo kwenye kamati ya pili watamshauri kisheria limekaaje. Chochote watakacho shauri ndicho kitakachofanyika. Lisu na wapuuzi wengine wasimsafishe mtoto bado anajisaidia waache kihelehele.
 
Endelea kunielewesha naona uko kichwani mwangu,sijui unahisi nna upande naegemea!!? au Lisu ndugu yako manake unanifafanulia post ka mchungaji na Bible,ifute basi uweke iliyofafanuliwa
 
Labda nikuulize swali tu,
1. Lissu ndiye aliyeingia hiyo mikataba?
2. Na je hiyo mikataba ina miaka/muda gani toka imeanza kutekelezwa mpaka leo ndio ionekane ni mikataba ya hovyo?
3. Waliotoa baraka zote za utekelezaji wa hiyo mikataba ni wakina nani?
4. Ni kipi kiliwapa uzito wa kuipeleka bungeni ijadiliwe kwa MASLAI ya taifa kuwa iligusa wananchi na rasilimali zao?
 
Kwa hyo kwa wana ccm mnataka nini maana mikataba inasema walipe mrahaba tu.
 
Tofauti yako na TL, na ambayo ni ya msingi sana hapa, ni kwamba wakati TL anajadili kitu anachokifahamu ndani na nje, wewe unajadili bila facts zozote za maana zaidi ya ukereketwa, basi!
Kiumbumbu wa lumumba na hajifahamu
 
Waongo ni maccm
 
tatizo mijitu mingine utafikiri yanatoka usingizini ww umeambiwa hili tatizo la kuibiwa ni la kisheria tena na mikataba hii iliyowekwa ipo kisheria sasa ameweka angalizo pasije pakatokea tukaingia hasara kubwa kwa kulipa fidia kubwa na kimkataba hayo siyo madini yako ni yao maana mlishaingia mkataba na huo ndo kweli asiyetaka ni mda tu utaongea na huo mchanga mtausafirisha wenyewe kwa gharama zenu na hilo wakulaumiwa ni viongozi wenu waliojuu ya sheria!
 
Mkuu umeeleza vzr sana.
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Huyo mnaemuita fisadi kilasiku nyie ma CCM, mnashindwa nini kumkamata na kumfunga ? Kila kitu mnacho serikali, polisi, mahakama na magereza pia. Kila mkiambiwa ukweli hoja yenu pekee mliyobakiza ni Lowassa fisadi, mfungeni basi au mumfilisi. Tumechoka !!
 
We umeandika kiungwana sana na ndo inavyotakiwa wakati unaitetea nchi yako siwezi kukujibu ujinga kwa sababu hubishani umetoa ukweli wako,bnafsi simchukii Lisu wala post zake,ila nachomaanisha mimi ni ushiriki wake wa moja kwa moja bila kujali makosa yalifanywa na nani tukaingia mikataba uchwara manake kama ni hasara itatukuta wote so, kipi bora,atumie uanasheria wake kutuchomoa huku tulipo au aendelee kuilaumu serikali ya CCM na kututabiria anguko!!?
 
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Soon utaufyata mkia,report fake imeshtukiwa na kila mtu!Kumbe ni kutafuta kuungwa mkono tu!
Nikikumbuka samaki wa Magufuli na tulivyolipa fidia,siuoni mwisho mzuri katika hili!
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Muda utaongea!Hayo mengine uliyoyataja ni irrelevant!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…