Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Sasa
 
Hapo ndio huwa namkubalia lissu kawashushia Lumumba kitu kizito kichwani wanashindwa kuamka yani nawakiamka ni matusi mwanzo mwisho!
 
Muda siyo mrefu atajulikana tahira ni nani na mwerevu ni nani ila tusije tukakimbiana.
 
Watu wanashangilia kila kona juu ya mchanga wa dhahabu wakati hata mikataba yenyewe ni siri, hatujawahi kuoneshwa
 
Ili kuelewa ili saga lazima uwe na mkataba kushoto, taarifa za uchenjuaji huko makinikia yanakopelekwa katikati, taarifa ya Prof. Mruma na ile ya pili kulia kwako. Halafu kwa chini ya meza uwe na zile za TMAA.
 
"ameweka angalizo pasije pakatokea tukaingia hasara kubwa" Ina maana sheria inaweza kubadilika huko mbeleni!!? inakuaje aseme "pasije"!! kumbe hata kama tumekiuka mkataba tunaweza kupenya kulingana na hako ka msitari tu,siamini kama sheria inaweza kupinda kiasi hiki,yeye ni mwanasheria anatakiwa kama kweli ana uchungu na nchi yake aseme "tusipokua makini na sheria,tutawalipa na aseme kama kuna uwezekano wa kuitumia sheria yake kichwani kutusaidia kwa lolote fullstop!
 

Another primitive argument.....

Wewe unasema kuna kamati mbili au kumi au hata mià moja hazijatoa ripoti, iweje sasa baba yenu ameshaanza kutoa hukumu kwa watu kwa taarifa ya kamati ya kwanza tu !!!??

Prof. Muhongo, watendaji wa TMAA na wengine.....

Hizo ripoti zingine zinakuja na jipya gani ambacho hakijatajwa na kamati ya awali ?

Mimi nadhani Tundu Lissu yuko sahihi kusema, movu na ripoti hii ni purely politics iliyopakwa rangi ya "ripoti ya kitaalamu"...
 
Uzi mzuri huu acha kabisa kama watu wakisoma comment huku wakiondoa tofauti zao za kisiasa maana kuna cha kujifunza kutoka kila upande
 
Mwanasheria kanjanja anasubir bit atunge nyimbo........lofa mno huyu.
 
Twambie sasa nani siyo corrupt?
 
Naona Lisu ana ushawishi mkubwa sana ila nasikitika sana kwa nini hakujumuishwa kwenye kamati mojawapo bnafsi ningeelewa zaidi ya nijuavyo manake nakosa wa kumuamini,Lisu aunganishwe tu kubishana wenyewe kwa wenyewe kunazidi kuwapa nguvu ACACIA in case kama ni lweli wanaiba,tujiridhishe tu kwa namna yoyote hamna namna
 
Huyu mmmmmmmmmh

In short anazidi kuboaaaaaaaaaaa kutafuta kiki tu na wivu.com umemjaa

Alipoona hayo yote kwanini hakwenda Ikulu kupigania anayodai, akakaa getini akaweka na kambi hadi aone mabadiliko kuwa amesikilizwa.

Maneno yake yamejaa uchungu anajua wengi wamependa alichofanya Raisi, na anajua mengi yanakuja.

Mdaku kweli huyu na hana heshima kwa jitihada za Mh. Magufuli akwende hukoooooooooo

Wanaojielewa hatudanganyiki

Hasira za kukosa mkato wa kutopokea vibahasha

Lolote na liwe, JPM anajua analofanya.

Hapa kazi tu

Magufuli 2020

Magufulie oyeeeeeeeeee
 
Kila kamati inayo mapendekezo yake. Kamati ya pili itatoa muongozo na ushauri wa kisheria na ndio sababu ya kuundwa kwake.
Wewe na Lisu wako ni wapuuzi na ni wa kupuuzwa tu.
 
Leo mmekosa point kabisaaaa ndugu zangu......
Ebu tafuta historia ya lissu harakati zake za mwanzoni alizifanya wapi kama siyo migodini
 
Huyu ndiye mpiganaji wa ukweli sio yule mwingine anayetafuta kick kwa kufukuza mawaziri huku akijua tatizo lipo kwenye mikataba
Yule zezeta hawezi tambua tatizo lipo wapi. Kama alishindwa kutambua tatizo lake la kuwa na PHD ila hawezi kutunga sentence in english.

Alfu Lissu usimlaumu sana Magu. Si unajua mikataba imeandikwa kwa kizungu. English inasumbua sana wasomi wa UDM
 
Raisi wetu naomba ututajie majna yale ulisema unayo, tujue nani ni nani.

Pia tunasubiri ripoti zingine kwa hamu kubwa.

Hongera Raisi wetu, nazidi kufurahia kuwa upande wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…