Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Naomba majibu ya hili swali Hadi leo sijapata.

Kwa nini Lissu alikiwa anawetetea Sana Barick na kutishia kwamba tutashitakiwa? Alikuwa na nia ya dhati kweli ama alikiwa anatetea ulaji wake tu? Ama ilikuwa sehemu ya Siasa kwamba ukiwa upinzani lazima upinge kila Jambo?

Nikijibiwa nikaelewa basi kura yangu kwake.
Mkuu

Umewahi pata majibu kwann hujapewa Noah uliyoahidiwa???
 
..hakuna mtu amewatetea barrick kama Magufuli.

..serikali ilisema inawadai barrick usd 191 billion.

..kitu cha ajabu deni likateremshwa mpaka kuwa usd 300 million.

..yaani ni sawa na udai shilingi 630+ halafu ukubali kulipwa shilingi 1, tena ulipwe kidogo kidogo.
You don't make sense, na hili swali huwarub vibaya lisu sympathizers
 
..Jpm ametusaliti ktk madai yetu dhidi ya barrick.

..tena alikutana na mabosi wa barrick ikulu.

..kwanini alikutana na watu/majizi waliokuwa wakituibia madini?
Nonsense, they were dealing with kabudi, mmeishiwa hoja, ila ukweli ni kwamba lisu ni snitch ambaye hawezi kuwa Rais na alikuwa mnufaikaji na kubwa kushinda yote, yeye na acacia walifeli.
 
Nonsense, they were dealing with kabudi, mmeishiwa hoja, ila ukweli ni kwamba lisu ni snitch ambaye hawezi kuwa Rais na alikuwa mnufaikaji na kubwa kushinda yote, yeye na acacia walifeli.

..ni kwasababu Jpm hajui kiingereza.

..kabudi alikuwa anajadiliana nao halafu anapeleka ripoti kwa magufuli.

..mwisho wa siku deni la usd 191 billion likateremshwa mpaka usd 300 million.
 
Mnaongeaga kama Wapuuzi lkn Kweli ni Wapuuzi

Kwani Barrick hawastahili kutetewa? Makamu Rais wa Barrick Deo Mwanyika mliyedai ni Mhujumu Uchumi na Mkashitaki kwa Makosa 90 leo si ndo Mgombea wa Magufuli Njombe Mjini, na si ndo Magufuli atafika kumfanyia Kampeni achaguliwe?
Cheki mnavyoropokwa kwa hasira, tulijua mtabwatuka
 
Msimamo wake juu yahilo uweke hapa usikadandie kamstari kamoja kwenyemaelezo marefu
 
Kama kura hauitaki yeye anaitaka.

Anyways.. kama kura sio muhimu basi nijibiwe kama mtanzania.
Kamuulize Deo Mwamanyika alihujumu Tanzania au barrick make magu alituambia Deo ni kibaraka wa barrick/mabeberu
 
Naomba majibu ya hili swali Hadi leo sijapata.

Kwa nini Lissu alikiwa anawetetea Sana Barick na kutishia kwamba tutashitakiwa? Alikuwa na nia ya dhati kweli ama alikiwa anatetea ulaji wake tu? Ama ilikuwa sehemu ya Siasa kwamba ukiwa upinzani lazima upinge kila Jambo?

Nikijibiwa nikaelewa basi kura yangu kwake.
mizuzu kama wewe ndio inafanyaga watanzania tuonekane vilaza! lissu kuonya kuwa "tutashitakiwa" ni utetezi???" HUNA AKILI
 
Hua nacheka sana nikikumbuka lile bango la Accacia pale Buzwagi lilivyoshushwa kikatili baada tu ya Barrick kufikia mwafaka na serikali.
 
Kwa hiyo Lissu alikuwa anafurahia ule unyonywaji hata hakuona uhumimu wa alichokuwa anafanya Magufuli?
La muhimu gani magufuli alilofanya wewe uvccm, yaani kuzuia makapi ya makinikia huku wazungu wakiendelea kujibebea dhahabu pure ndo ushujaa?
 
We ni miongoni wa wale walomuamini lisu eeeh.

Punguza unyumbu brother,next time utatumbukizwa shimoni ujue Kama hujui lolote ndani ya nchi hii.

Utakua Katika kundi linaloamini Lissu ndo Rais wako baada ya 28/10.
Bila Shaka atakua Rais wa nyumbu
Kati ya Lissu na JPM,ni nani anawalinda Barrick?Inakuwaje kati ya usd bil 190 tuambulie dola mil 300 na JPM akubali?
Else Lissu alikuwa sahihi!
 
Hivi magufuli alikuwa anataka nini hasa kutoka kwa Acacia? Je hitaji lake lilifanikiwa haswa? Namfananisha na mfalme mpumbavu, ktk mkurupuko aliofanya dhidi ya acacia kagharimu ajira za wafanyakazi 2000 pale bulyanhulu, makapi aliyozuia pale bandarini ni utopolo.mtupu.
 
Mada Kama hizi mkuu utaambulia matusi tu hakuna mtu atakuja kukupa jibu hapo.

Nimesoma comment toka mwanzo hadi hapa naona ni viloja vitupu.

Kuna watu wawili wanao jisifia kuwa na akili kubwa kuliko kawaida humu JF, ajabu mmoja kaja na jibu kuwa KURA YAKO SIO MUHIMU KWA LISSU na mwingine kaja na Swali eti SHULE ZIMEFUNGULIWA TAYARI WE MBONA UPO HUMU.

ndio majibu pekee utapata humu.
 
Kati ya Lissu na JPM,ni nani anawalinda Barrick?Inakuwaje kati ya usd bil 190 tuambulie dola mil 300 na JPM akubali?
Else Lissu alikuwa sahihi!
Aliye ziibua hizo usd bil 190 ni nani hadi wewe leo umepata haki ya kuzidai na hizo mil 300 zilitokana na nini na ni nani alisababisha zipatikane?
 
Aliye ziibua hizo usd bil 190 ni nani hadi wewe leo umepata haki ya kuzidai na hizo mil 300 zilitokana na nini na ni nani alisababisha zipatikane?
Nyumbu hazina akili
 
Aliye ziibua hizo usd bil 190 ni nani hadi wewe leo umepata haki ya kuzidai na hizo mil 300 zilitokana na nini na ni nani alisababisha zipatikane?
Kwahiyo mmeridhika bila maelezo yoyote!Tuambiwe tuna wadai Usd bil 190,halafu tupewe usd ml 300 yaani chini ya 0.2% ya kile tunachodai halafu mchekelee na kuona ni sawa bila hata maelezo ya aliyekuja kwa mbwembwe kutambia tunadai $bil 190!!!!!Mtakuwa na matatizo ya akili!
Hakafu ni nani aliyeingia mikataba mibovu?Wakati akina Lissu na Zitto wakipiga kelele kulinda rasilimali zetu,CCM akiwemo JPM walikuwa busy kupitisha mikataba kwa hati ya dharura!
Zitto ilifika kipindi alifukuzwa bungeni kwa miezi minne kwa sakata la mrabaha kwenye madini wakati huo ameibua suala la Buzwagi!Lissu alipigwa na kukamatwa na polisi akiwatetea wananchi waliokuwa wamedhulumiwa haki zao na waawekezaji mgodi wa North mara!
Nchi hii wakubeba lawama ni CCM na si mwingine kwa hapa tulipo!
 
Back
Top Bottom