Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Alimwita huyo Magu dictator uchwara hadharaniIngekuwa enzi za mwendazake angethubutu kusema hivyo? Ila kudos kwake kwa kuipigania haki.
Alisema na ndiyo maana alimiminiwa risasi 36.Ingekuwa enzi za mwendazake angethubutu kusema hivyo? Ila kudos kwake kwa kuipigania haki.
Hana maslahi ya kupoteza, labda uhai wake tu.Lissu hapokei maelekezo kama Mbowe, maedinda
Hana Cha kupoteza hata mke na watoto?Aache uwongoKutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Braza vipi
Lema alifanya maamuzi magumu sana ,wachaga wana nongwa sana.Nampngeza Sana lema amekubali kupoteza marafk na kusimamia haki
Mungu amlipe mema kwa uzalendo wake
Wachumia tumbo hawatamwelewa LissuHana Cha kupoteza hata mke na watoto?Aache uwongo
Gentleman,Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Amina Amebarikiwa sana anayejali maslahi ya wengine na kutanguliza UzalendoNampngeza Sana lema amekubali kupoteza marafk na kusimamia haki
Mungu amlipe mema kwa uzalendo wake
Alimwita huyo Magu dictator uchwara hadharani
Anyongwe na nani?Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee.
Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha kupoteza katika kupigania mageuzi na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.
Lissu ni kama aogopi kifo tena.Wanajisahaulisha kwamba hayati ndio alipanga auwawe huyu jamaa. Alimwita Dikteta mchana kweupe jua linawaka. 😁
Dikteta amekufa, Lissu yupo.
Domo naye ni diktesa uchwaraAlimwita huyo Magu dictator uchwara hadharani
Tusubiri tuone kufikia October."2025 Tundu Lissu ndiye mwanasiasa pekee ambaye nyota yake inan'gara na kuwa juu kuliko viongozi wote na malkia wao"
kutoka vilingeni, madhabahuni, nyumba za ibada na mizimumi.
Tanzania Kila mtu anatakiwa kupambana na Hali yake watu washapotezwa wengi kisa kupambania nchi na hakuna jipya Mimi ushauri wangu acha watu wage na njaa zaoUko sahihi watanzania tunakatisha sana tamaa hawa wapigania mageuzi wetu.