Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Naandika hapa nikijua kabisa yakuwa familia ya marehemu inajiandaa Kwa kushrikiana na jeshi la polisi na chama tawala kumzuia MH Tundu Lissu atakapo zuri kabulini Kwa lengo la kumwamusha marehemu ahamke na kuangalia kinachoendelea nchini Tanzania.
MH Lissu naomba ikifika hapo kabulini mwambie mwendazake ahamke aone nchi inavyokwenda mrama.
Nchi inaenda mrama vuruvuru.
Na wale waliofanya sherehe ya kifo chake nao ni mali yao tangu linii?? Acheni kejeriii, duniani wote tunapitaa.
 
Akienda, achukue na fimbo, akalichape lile kaburi akitoa lawama kwanini walivunja mkataba tukalipa bilioni 260 kwenye ile kesi mruma amejing'atang'ata. huyo jamaa alikuwa mzalendo ila kwa upande mwingine pia ametutia hasara sana.
Shida yako wew akili huna watu wanakula wew unabinuka sarakasi
 
Nilishasema tangu mwanzo kuwa, kuna siku Lissu atamkumbuka JPM. Lissu Ni wakati wa kumtoa JPM kwenye mawazo yako kuhusu lile shambulizi.
 
Back
Top Bottom