Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Na wale waliofanya sherehe ya kifo chake nao ni mali yao tangu linii?? Acheni kejeriii, duniani wote tunapitaa.
 
Akienda, achukue na fimbo, akalichape lile kaburi akitoa lawama kwanini walivunja mkataba tukalipa bilioni 260 kwenye ile kesi mruma amejing'atang'ata. huyo jamaa alikuwa mzalendo ila kwa upande mwingine pia ametutia hasara sana.
Shida yako wew akili huna watu wanakula wew unabinuka sarakasi
 
Nilishasema tangu mwanzo kuwa, kuna siku Lissu atamkumbuka JPM. Lissu Ni wakati wa kumtoa JPM kwenye mawazo yako kuhusu lile shambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…