Ndiyo unatakiwa nawe uwawe kama ulivouwa
 
Kama ubaguzu wa rangi wa mtu mweupe dhidi ya mtu mweusi, haukuwa mzuri, basi ubaguzi wa mtu mweusi dhidi ya mzungu, yauwezi kuwa mzuri - Mandela.

Nasimama Mandela na TAL.
 
Kwa jinsi hali ilivyokuwa Mwendazake angeendelea kuwepo basi hata wakuu wa mikoa na wilaya wangetengenezewa sheria ya kinga ya kutokushtakiwa kwa watendayo wakiwepo madarakani
 
Lissu angekuwa Rais hii nchi ingekuwa na Utu sana na utawala wa sheria
Watz ni rahisi sana kumuamini mtu kisa tu ni mtu wa maneno mengi na mkali mbele ya cameras! Ujinga huu ndio ukasababisha tupate mtawala kama Magu! Kipi kimekufanya utamke hayo uliyotamka? Unamfahamu Lissu personally?
 
Wanasita kumpandisha mahakamani.....basi wamuachie....maana makosa yako wazi wanasita nini au wanalindana?
 
Mkurugenzi wa Takukuru ana kofia mbili ni mkurugenzi wa Takukuru na kamishna wa polisi

Huenda kamishna Hamduni alitumia kofia zote kumuweka mahabusu
 
Nafikiri wanachagua makosa ya kumhukumu nayo yeye kivyake, na yale yatakayowagusa akina fulani wanayaacha.
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Sidhani kama lisu anamaanisha sabaya anaonewa kuwekwa sana mahabusu ila ni kuwahadaa wananchi tu kwamba Sabaya yupo kikaangoni
 
Mbowe kakalia ukabila tu. Sabaya angekua mchaga mbowe ndo angezungumza haya. Asante sana M/mwenyekiti.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Hujui unacho kinena. Ushahidi dhidi ya Sabaya umesimama wima bila mashaka na unaambiwa kuna watu zaidi ya 200 wako tayari kusimama mahakamani na kutoa ushahidi kwa KIAPO juu ya unyama wa Sabaya.
Kinachoshindikana ni kutaka upelelezi ukamilike ndio wampeleke mahakamani, mbona Uamsho na wengine wako rumande kwa miaka huku upelelezi unaendelea?
 
wewe huwezi kuwa Rais mkuu? Kwanini usiseme wewe?
Naweza kuwa raisi, lakini hapa namzungumzia mtu ambaye tayari alishakuwa mgombea uraisi na uwezekano wa kuupata upo karibu kwakuwa anaungwa mkono na watu wengi
 
Kwa Utawala wa sheria ataipata haki yake kama jambazi apewavyo haki yake.
 
We Lisu Acha karma ifanye Kazi,wiki tu kidogo hivyo,mbona wazee wa uhamsho mwaka wa 8 huu wazee wa escrow mwaka wa sita huu.
Alivyokuwa akiwalaza ndani wenzake je.
Wazee wa escrow waachiwe nafasi yao wakae sabaya na bashite.
 
We Lisu Acha karma ifanye Kazi,wiki tu kidogo hivyo,mbona wazee wa uhamsho mwaka wa 8 huu wazee wa escrow mwaka wa sita huu.
Alivyokuwa akiwalaza ndani wenzake je.
Wazee wa escrow waachiwe nafasi yao wakae sabaya na bashite.
Anachotaka Lissu huyo jamaa ashitakiwe huku upelelezi ukiendelea kama ilivyo kwa uamsho.Alivyoshikiliwa na TAKUKURU ataachiwa kinyemela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…