Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Mkuu huyo lissu ni mgonjwa,taratiby utaanza kumshitukia,utawala unaoheshimu Sheria ni mzuri Sana ,acha Sheria iamue uzuri au ubaya wa sabaya na si sisi raia
 
Hapo lazima kuna ugomvi na mwenyekiti wake.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.

Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na ccm.


My take.

Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.

Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.

 
Watz ni rahisi sana kumuamini mtu kisa tu ni mtu wa maneno mengi na mkali mbele ya cameras! Ujinga huu ndio ukasababisha tupate mtawala kama Magu! Kipi kimekufanya utamke hayo uliyotamka? Unamfahamu Lissu personally?
Haiitaji kumfahamu mtu personally kujua tabia zake hasa hawa public figures ambao sehemu kubwa ya vitu wanavyofanya kila siku vinawekwa hadharani,hivi tunapofanya uchaguzi wa viongozi huwa tunawapima kwa kuwajua personally?

Lissu ana miaka mingi akiwa mtetezi wa wanyonge kabla hata hajaingia kwenye siasa,so kazi zake zinafahamika kupitia ushahuda wa watu aliowatetea

Hivi kujua tabia za Amber rutty inahitaji kumjua personally?
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Mbona Mbowe aliiba magari weeeee! Leo hii ana nafasi ya kuhutubia watu?
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Tuzingatie Sheria

Sio kufanya Mambo kwa utashi wenu

Leo sabaya akikaa mwezi mzima mahabusu

Kesho mkiwakamata chadema mtataka justification kwa kutumia Jambo la sabaya

Apelekwe mahakamani period
 
Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!

Usikute huyu ndio alikupiga shaba
 
Mtu wa haki na mtu wa Mungu Lissu hana kinyongo pamoja na marisas yote yale.Na huyu Sabaya aliandaa kundi la vijana kumpiga mawe wakati wa kampeni.

Somo kubwa kwa shetani Sabaya na shetani mkuu wake aliyeenda
Bonge ya somo
 
Lisu anajishushia hadhi yake kuongelea mambo ya hovyo hovyo kama haya
 
Lissu Unajua sheria mpaka unakera...😂
M/Mungu akubariki sana kiongozi wangu.
Ungekua rais nchi yetu ingepata baraka sana. ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Bwana unaongea kitoto! Lugha kama Sabaya mwenyewe.
Dawa la uhuni ni sheria. Ni sheria iliyopo si sheria unayotunga dakika unapokasirika.
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Lugha aliyoitumia hujaielewa
 
Namuelewa sana Tundu Lisu. Hawa maccm tukiyaacha yakiuke sheria kwasabb tu anayeteswa ni yule tusiyempenda (Sabaya), kuna siku yatageuza kibao kwa watu tunaowapenda.
Yageuze kibao mara ngapi?
 
Back
Top Bottom