Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Nchi yetu inategemea uliishije na watu ata kama hakutelkeleza sheria vyema wakati nchi zingine inategemea ulitekeleza vipi sheria .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni takukuru wafanye kazi yao.ss tusubiri ushahidi ukishakamilika tutajua mbivu na mbichi.Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
Namshangaa Lissu kwa hili!!! Alitakiwa akae kimya.Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Hapo wamedeal naye kihuni kivip zaidi ya kumshikilia tu.Taratibu zakisheria ziko wazi na zinaumuhimu mkubwa kuliko hicho kinachofanyika.Vinginevyo anaweza akashikiliwa hivyo alafu mwishoni ukasikia hakuna uthibitisho.Kuheshimu utawala wa sheria kuna manufaa makubwa kwa nchi kuliko namna nyingine yakuhandle watu wanaoshukiwa kwa makosa mbalimbali.Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Mwenzako kazungumza kwa mujibu wa taaluma yake ya sheria sio mihemko na kulipiza visasi kwani kufanya hivyo unaweza kumuumiza mtu ambaye hana hatia. Kila mtu ni Innocent until proven gulty.Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.sheria haina uhuni ukiwa muumini wa sheria lazima zifuatwe na hii hii maana yake serikali inataka kufanya uhunu ....
Ata ile pinga pinga ya kumkosoa Mama la mama Mheshimiwa Rais tangu sabaya amedakwa imepungua! bora wa muweke ndaniIfike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Namshangaa Lissu kwa hili!!! Alitakiwa akae kimya.
Lissu ni akili kubwa sana, wachache huweza kumuelewa. Nadhani hata mwendazake hili lilimpa shida, kuna maeneo hakumuelewa na akamhukumu kimakosa. Ukisoma comments nyingi humu, wengi hawamuelewi na baadhi wanamhukumu kimakosa.Hapana. Kaongea Kama mwanasheria. Ni ngumu Sana kumwelewa lisu Kama haupo vizuri.
Anaonya ili kuepuka kuvuruga mwenendo wa uchunguzi na upelelezi wa jinai alafu mtuhumiwa kuachiwa katika mazingira ya udanganyifuIfike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Tunaongelea haki ipiIjapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
Haki ya kuishitakiwa, kujitetea na kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria!Tunaongelea haki ipi
Sheria is not always right. Akipelekwa mahakamani akipata mwanasheria mzuri anachomoa. Si kila wakati sheria zinatenda haki hata kama una uhakika mtuhumiwa katenda kosa!..mtuhumiwa ana haki zake.
..aliyepatikana na hatia ana haki zake.
..Lissu ni mwanasheria mzoefu kuna jambo ameona haliko sawa ndio maana akatoa kauli.
..Na linapokuja suala la HAKI Lissu huwa habagui.
Hata Hitler akikamatwa leo hii, atafikishwa tu mahakamani na wala hatakatwa katwa mapanga kisa aliua watu.Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Wavha uchocheziIjapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!