Unaamini bila ushahidi?!
Bure kabisa wewe!
Kuiondoa CCM kwenye uso wa afrika mashariki.Solution please
Yes. Yeye anatetea hakiHalafu unaweza kukuta yeye ndio wakili wa hizo kampuni 3, wakili hachagui mteja 😀
Halafu unaweza kukuta yeye ndio wakili wa hizo kampuni 3, wakili hachagui mteja 😀
Ikitokea tunampa nchi halafu kesi zinaendelea mahakamani kama wakili anayeziwakilisha anaenda tena kuibana Tz.Halafu unaweza kukuta yeye ndio wakili wa hizo kampuni 3, wakili hachagui mteja 😀
Kuiondoa CCM kwenye uso wa afrika mashariki.
Mkuu umesahau kuwa mzungu hatishwi? Hawezi kuogopa kudai haki yake kisa mmesema kuwa hamtashitakiwa.Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa..
Mfuate taratibu za kimikataba bila kutimia matamko na jazibaSolution please
Kwanini wewe usiwe ndiyo empty?Unaamini bila ushahidi?!
Bure kabisa wewe!
Huyo kwakuwa ni mpiga zumari lazima ataamini tuNimechoka kudanganywa bwashee. Wewe endelea kuambiwa zimejengwa zahanati 400 na SGR inajengwa kwa mapesa ya ndani.
Uwakili ni kazi sawa na kazi zingineHalafu unaweza kukuta yeye ndio wakili wa hizo kampuni 3, wakili hachagui mteja 😀
AminaKuiondoa CCM kwenye uso wa afrika mashariki.