Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
hatari sana
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuu, yaani kwa hiki ccm walichofanya kwa awamu hii + hiki wanachoendelea kufanya kwenye mchakato mzima wa kuelekea uchaguzi mkuu, kwa jina la Mungu Lissu akifanikiwa kuwadondosha na ndio itakuwa mazishi yao mazima.Kuiondoa CCM kwenye uso wa afrika mashariki.
Mayoooo waneeee !!Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
una maana gani ?Solution please
Siku ukiona makubaliano Kati ya serikali na Barrick ndo utajua kwa nini hatukushitakiwa,kwa sasa enjoy matango pori uliyolishwa na mzee wa jalalaniMwambie lisu tumeshitakiwa pia MIGA [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Kazichocheaje?Hizo ni kesi zilizochochewa na Lisu mwenyewe na Zito alafu anakuja kudai natishiwa kuuwawa.
Mkono Nimrod ameitetea tanesco sana mkuu..hapana.
..huko wanakwenda mawakili wenye leseni na usajili wa kutetea kesi ktk mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji.
..hakuna wakili hata mmoja toka Tz mwenye usajili ktk mahakama hiyo.
una maana gani ?
Kama hatuogopi kushitakiwa unajua ni kwanini matokeo ya urais Tanzania hayapingwi mahakamani?Kwahiyo wakili msomi anaogopa kushitakiwa?
Angesema tumeshindwa kesi tatu kwa mwaka huu pekee ingekuwa habari.
Tuliambiwa mzungu wa ndege ya ATC tumemshinda kesi atatulipa mipesa! Imekuaje tena!Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Anaelezea namna tunavyofilisiwa kwasababu ya mkurupukaji mmojaKwa hiyo anafurahi kushtakiwa kwa nchi yake?na amejuaje kama hahusiki?dah!!
Hawa jamaa wanatufanya mandunya sanaTuliambiwa mzungu wa ndege ya ATC tumemshinda kesi atatulipa mipesa! Imekuaje tena!
Upande mmoja wenye haki yao walisha anza tangu 2015Hivi kwani kampeni tayari zishaanza?
Kupatwa kwa watanzaniaAnaelezea namna tunavyofilisiwa kwasababu ya mkurupukaji mmoja
Akikujibu una bahati ya mtendeKama hatuogopi kushitakiwa unajua ni kwanini matokeo ya urais Tanzania hayapingwi mahakamani?
Ushahidi uupatie wapi wakati hakuna uhuru wa habari.Unaamini bila ushahidi?!
Bure kabisa wewe!