Tundu Lissu: Rais ni mtumishi wetu tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema. Lazima tushughulike nae kisiasa

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.

Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona sehemu kuwa "staha ni nini" ila anajua kuwa sheria inakataza nini.

Anasema Rais ni kiongozi wa kiongozi wa kisiasa tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema.

Amewapuuza wanaosema hana staha, anasema wamekosa hoja kwakuwa wameuza bandari zetu mchana kweupe.
 
Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa tunapsawa kushughulika nae kamna kiongozi wa kisiasa ana sema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa ,kukaripiwa.
Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona sehemu kuw "staha ni nini" ila anajua kuwa sheria inakataza nini.

Anasema Rais ni kiongozi wa kiongozi wa kisiasa tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema.

Amewapuuza wanaosema hana staha, anasema wamekosa hoja kwakuwa wameuza bandari zetu mchana kweupe
100%
 
Lissu ANAWANYOOSHA HAO MAJIZI.

Tunashindwa kujenga hata uwanja wa Dola milini 600 kama FND. kwa sababu ya MAJIZI.

Shennnnziiiiiii kabisaaaaaa
Wakati wa Magufuli alikimbia na kwenda kulialia kwa wazungu. Bahati yake huu utawala wa Dr. Samia🤣🤣🤣
 
Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.

Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona sehemu kuwa "staha ni nini" ila anajua kuwa sheria inakataza nini.

Anasema Rais ni kiongozi wa kiongozi wa kisiasa tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema.

Amewapuuza wanaosema hana staha, anasema wamekosa hoja kwakuwa wameuza bandari zetu mchana kweupe.
Good Lissu
 
Ukisimama nchale ukikaa nchale!!! LISSU hapoi wala haboi!!
 
Back
Top Bottom