Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.
Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona sehemu kuwa "staha ni nini" ila anajua kuwa sheria inakataza nini.
Anasema Rais ni kiongozi wa kiongozi wa kisiasa tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema.
Amewapuuza wanaosema hana staha, anasema wamekosa hoja kwakuwa wameuza bandari zetu mchana kweupe.