100%Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa tunapsawa kushughulika nae kamna kiongozi wa kisiasa ana sema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa ,kukaripiwa.
Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona sehemu kuw "staha ni nini" ila anajua kuwa sheria inakataza nini.
Anasema Rais ni kiongozi wa kiongozi wa kisiasa tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema.
Amewapuuza wanaosema hana staha, anasema wamekosa hoja kwakuwa wameuza bandari zetu mchana kweupe
Wakati wa Magufuli alikimbia na kwenda kulialia kwa wazungu. Bahati yake huu utawala wa Dr. Samia🤣🤣🤣Lissu ANAWANYOOSHA HAO MAJIZI.
Tunashindwa kujenga hata uwanja wa Dola milini 600 kama FND. kwa sababu ya MAJIZI.
Shennnnziiiiiii kabisaaaaaa
Ndo namna unavyojibu hoja hivi?🤣hii nchi hii..inasikitisha watu mnajizima data namna hii,kisa kutetea. Hamko honest kabisa na nafsi ZENU.Wakati wa Magufuli alikimbia na kwenda kulialia kwa wazungu. Bahati yake huu utawala wa Dr. Samia🤣🤣🤣
Ulitaka nijibu vipi?Ndo namna unavyojibu hoja hivi?🤣....
Tulia wewee.Ulitaka nijibu vipi?
Duh, kumbe bado upo?Tulia wewee.
Good LissuLissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.
Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona sehemu kuwa "staha ni nini" ila anajua kuwa sheria inakataza nini.
Anasema Rais ni kiongozi wa kiongozi wa kisiasa tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema.
Amewapuuza wanaosema hana staha, anasema wamekosa hoja kwakuwa wameuza bandari zetu mchana kweupe.
Haya majangili kutwa yanaimba mama yupo kaziniLissu ANAWANYOOSHA HAO MAJIZI.
Tunashindwa kujenga hata uwanja wa Dola milini 600 kama FND. kwa sababu ya MAJIZI.
Shennnnziiiiiii kabisaaaaaa
Mlitaka mumuue lakini Mungu akafanya yake😊Wakati wa Magufuli alikimbia na kwenda kulialia kwa wazungu. Bahati yake huu utawala wa Dr. Samia🤣🤣🤣
Uliniona?Mlitaka mumuue lakini Mungu akafanya yake😊
Ukisimama nchale ukikaa nchale!!! LISSU hapoi wala haboi!!Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa.