Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.
Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.
Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.
Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.
Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.
Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.
Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.