Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,327
kichwa kibovo hiki yaani huon muhim wa katiba na huu muingiliano wa mihimili kweli? inasikitisha
Kuhusu mikutano ya kisiasa sheria ipo wazi kabisa namna utaratibu unavyokuwa sasa hilo kundi wanataka wajifanyie kama wanavyotaka wao na sio sheria inavyosema( law as it is),pili suala la katiba mpya huu mgogoro ukiangalia kwa undani zaidi unaona kabisa ni mgogoro wa vyama pinzani na serikali na kikubwa vyama pinzani cdm wakiwa mbele ni kutaka nafasi za uongozi katika serikali sababu mwananchi anataka maendeleo ambayo yanaweza kupatikana hata kwa hii katiba iliyopo ambayo kiukweli mwananchi wa kawaida hamletei shida yoyote zaidi ya hao wanaotaka nchi igawanywe nao wapate kutawala(Serikali za majimbo),cdm mambo ya katiba mpya mmeferi hiyo sera imefeli kwa mwananchi ndio maana wenzenu wamerudi nyuma kitambo jipangeni na sera zingine mashiko na kwa taarifa huyo aliyopo ulaya sio mwanasiasa ni mwanaharakati anawapotosha hamjui tu atawaletea balaa kubwa ndani ya chama au chama kufa na kusambaratika kabisa.