abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Yaah muuliju
Binuka nikubamize.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binuka nikubamize.
Binuka nikubamize.Yaah muuliju
Ovyoo mtu mzima ovyoooTundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.
Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.
Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.
Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.
Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.
Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.
Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Mimi niko humu leo kuhesabu idadi ya wajinga waliomo humu na wewe ni wa 7 wanaofikiria kwamba rais ni Mungu na hata Magufuli alifikiri hivyo hivyo na Mungu akasema, huu ni ujinga, akamuondoa duniani.Lissu is naturally arrogant, huwezi tumia lugha hiyo kuongea na Mh. Rais yeyote yule..
Huwezi mlazimisha Mh. Rais afanye anayotaka Lissu. By the way who is Lissu?
1: Mikutano ya kisiasa kabla ya muda wa kampeni hilo halipo milele, ataozea jela Lissu, na Lissu alivyomuoga atakimbia nchi hata kabla hajakamatwa.
2: Katiba Mpya, sio kitu cha kukurupuka na kuanza, ina mambo mengi, mojawapo ni fedha, na kama haipo katika priority Mh. Rais huwezi kum force afanye.
3: Eti amuachie Mbowe, kwani Mbowe kakamatwa na Mh. Rais? Makosa ya Mbowe ni kabla hata Mh. Samia hajawa Rais wa nchi yetu. Hivi nyie watu mnaelewa au kazi kupiga kelele tu. Kesi mnasikiliza, mashtaka ya Mbowe ni kabla hata Samia hajawa Rais, sasa Samia amuachie kwa lipi?
Binuka nikubamize.
Binuka nikubamize.Ahmaku
Kwaivo umeshakuwa Mama ghafla mara hii?1: Mikutano ya kisiasa kabla ya muda wa kampeni hilo halipo milele, ataozea jela Lissu, na Lissu alivyomuoga atakimbia nchi hata kabla hajakamatwa.
Mkuu umeelewa kweli nilichokiandika!?Acha uzushi wewe, hivi ni nani alikimbilia ubalozini? Ni nani alipewa escort ya mabalozi kwenda airport?
Usimjaze upepo jamaa yako anaesumbuliwa na grandiosity.
Mimi sijui kama anaogopa kurudi. Ila nimeelewa amesema akihakikishiwa usalama atarudi, na hata asipohakikishiwa usalama atarudi, na ikitokea ajadhuriwa basi nature will take its course.
Kama wewe hutaki si wewe.kwanini uwasemee wengine.Alafu nyie mnaojifanyaga hamnazo ndo mnakuaga wakwanza kulalama mambo yanapokua ndivyo sivyo.Kelele za siasa ni muhimu sana ili kuwaamsha watawala.Kila mtu akisema akae kimya unadhani nchi itakuaje.Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
Para ya mwisho ina maanisha nini kusema "hata dunia ipige kelele hatashughuliwa". Mimi imenichanganya.Huyu gaidi afungwe harahara kwasababu mate yamekuwa mengi kwa wanaharakati uchwara...ushahidi umenyooka hivyo alafu hawa watu wa space wanajitoa ufahamu...
Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele hatashugulikiwa..iwefundisho kwa vizazi vijavyo.
Anaposema 'tumefuta' ana maana gani mkuu?!Rais ndio alifuta?
Acha fiksi
We mala.ya takataka,mikutano wanayofanya CCM nchi nzima ni kipindi cha kampeni hiki?Lissu is naturally arrogant, huwezi tumia lugha hiyo kuongea na Mh. Rais yeyote yule..
Huwezi mlazimisha Mh. Rais afanye anayotaka Lissu. By the way who is Lissu?
1: Mikutano ya kisiasa kabla ya muda wa kampeni hilo halipo milele, ataozea jela Lissu, na Lissu alivyomuoga atakimbia nchi hata kabla hajakamatwa.
2: Katiba Mpya, sio kitu cha kukurupuka na kuanza, ina mambo mengi, mojawapo ni fedha, na kama haipo katika priority Mh. Rais huwezi kum force afanye.
3: Eti amuachie Mbowe, kwani Mbowe kakamatwa na Mh. Rais? Makosa ya Mbowe ni kabla hata Mh. Samia hajawa Rais wa nchi yetu. Hivi nyie watu mnaelewa au kazi kupiga kelele tu. Kesi mnasikiliza, mashtaka ya Mbowe ni kabla hata Samia hajawa Rais, sasa Samia amuachie kwa lipi?
Ulipotea sana mkuu. Ama maradhi yalikuzidi.Lissu amechanganyikiwa.
You can’t be seriousAnaposema 'tumefuta' ana maana gani mkuu?!
Kwa hiyo mwanasheria anayesifiwa, anataka rais aingilie maamuzi ya mahakama? He must be rubbish!Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.