Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hilo Sasa ni tatizo lako halituhusu. Wewe kuamini hata kutoamini halibadili chochote.Mimi ningeamini waliyojadili kama nikiona video. Bila video siwezi kuamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo Sasa ni tatizo lako halituhusu. Wewe kuamini hata kutoamini halibadili chochote.Mimi ningeamini waliyojadili kama nikiona video. Bila video siwezi kuamini.
Kuna watu vihiyo dunia hii. Mama amewanyosha team roho mbaya wote.Hilo Sasa ni tatizo lako halituhusu. Wewe kuamini hata kutoamini halibadili chochote.
Mkuu, kwa hiyo alipofuta kesi ya masheik wa uamsho aliingilia uhuru wa mahakama?!Markel hakuingilia mahakama kufuta kesi… labda Joyce Banda alifanya hivyo
Samia will be markel on this one for sure
Sasa kulikuwa na haja gani ya kuzungumza nae rais? Ameenda kufanya kuwa ni issue ya rais kufuata maagizo ya Lissu. Kwa rais alikuwa hajui hilo suala la katiba mpya? Alikuwa analijua, sasa mantiki ya mazungumzo na Lissu ni ipi hapo?Swala la katiba mpya sio Option
Alichokiongea Lissu kina ubaya gani?
Watu roho mbaya mmefura
Kwani usipoamini yeye anapoteza nini?Mimi ningeamini waliyojadili kama nikiona video. Bila video siwezi kuamini.
Yeye na wewe nani kadumaa jombiii??It’s all about him
Unfortunately haimsaidii
Inamdumaza
Kesi ya wale masheikh ilikuwa baada ya Samia kuwa rais?!Lissu is naturally arrogant, huwezi tumia lugha hiyo kuongea na Mh. Rais yeyote yule..
Huwezi mlazimisha Mh. Rais afanye anayotaka Lissu. By the way who is Lissu?
1: Mikutano ya kisiasa kabla ya muda wa kampeni hilo halipo milele, ataozea jela Lissu, na Lissu alivyomuoga atakimbia nchi hata kabla hajakamatwa.
2: Katiba Mpya, sio kitu cha kukurupuka na kuanza, ina mambo mengi, mojawapo ni fedha, na kama haipo katika priority Mh. Rais huwezi kum force afanye.
3: Eti amuachie Mbowe, kwani Mbowe kakamatwa na Mh. Rais? Makosa ya Mbowe ni kabla hata Mh. Samia hajawa Rais wa nchi yetu. Hivi nyie watu mnaelewa au kazi kupiga kelele tu. Kesi mnasikiliza, mashtaka ya Mbowe ni kabla hata Samia hajawa Rais, sasa Samia amuachie kwa lipi?
Mbona Zuhura Yunus anaporipoti mambo yaliyozungumzwa na Rais hamsemi hayo? Nyie mmezoea kufichwa fichwa mambo ya kitaifa eti kwamba ni siri ya viongozi, hata bunge mkafungiwa na kuona Sawa, hata mikataba yote ikawa siri mpaka bungeni haipelekwi. Shida yenu hamuupendi ukweli...kiongozi mzuri unapaswa kuwa mtulivu na sio kupayuka payuka...mmeshazungumza, mlichozungumza mnajua wenyewe, unaanza kupayuka payuka kila kukicha matokeo yake mliozungumza wataona unawapa amri sasa au kuwaoverride..
Ila kwenye matamasha ya bongo fleva mnakojazana na vichupa vyenu vya K Vant na smart gin hakuna Corona??Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
Mbuzi ana afadhali angezaliwa punda ili abebe mizigo his entire life..Bora ungezaliwa mbuzi ukaliwa
Uliwahi kujiuliza ilikuwaje Mange Kimambi akasota kupata passport mpaka majuzi alipomuomba Rais? Punguzeni ujuaji na kuwashwa washwa..Kwahiyo aingilie uhuru wa Mahakama.
Swala la Passport nalo ni issue ya kumwambia rais ? Hata kamishina wa uhamiaji angemuambia awaone vijana wake.
Naungana na askofu Bagonza iko issue kwa kichwa huyu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kati yao ni nani looserInaonekana mazungumzo ya mama na Lissu hayakua mazuri
kuna kitu nilitaka kuchangia hapa lakini kitufe(button) cha baobonye(keyboard) kime nasakiongozi mzuri unapaswa kuwa mtulivu na sio kupayuka payuka...mmeshazungumza, mlichozungumza mnajua wenyewe, unaanza kupayuka payuka kila kukicha matokeo yake mliozungumza wataona unawapa amri sasa au kuwaoverride
Acha uzushi wewe, hivi ni nani alikimbilia ubalozini? Ni nani alipewa escort ya mabalozi kwenda airport?Bahati njema ya Lissu kuponyoka mysteriously kutoka kwenye mdomo wa kifo kumemfanya awe na moyo sugu. Kifo na uhai kwake havina tofauti.
Lissu,Kwa sababu,anasema wasipo mpa passport,atapata EU travel pass,wasiporuhusu mikutano,atafanya Kwa lazima nk. Frustration languageKati yao ni nani looser
Never... TAL kashika mpini.. Mikopo na misaada inayotoka sasa ina masharti ya kumwachia huru Mbowe na kumfutia TAL kesi zake zoteLissu,Kwa sababu,anasema wasipo mpa passport,atapata EU travel pass,wasiporuhusu mikutano,atafanya Kwa lazima nk. Frustration language
Hayakuwa na maana kwa sababu hata kwa kutumia twitter tu Lissu angeweza kumpa mkuu wa nchi hayo maelekezo ayatekeleze, maana anachoendelea kukifanya Lissu kifanya yale mazungumzo yake faragha na rais kuwa hayana maana.Inaonekana mazungumzo ya mama na Lissu hayakua mazuri
Binuka nikubamize.Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga kabla ya kuja kwa marrijaal