Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

Lisu bana!..

Yani ili nchi ipone ni matakwa yake kutekelezwa?

Hivi hawa wajinga wanatuonaje?

Nchi hii itapona umeme ukiacha kukatwa hovyo,
Nchii hii itapona bei za bidhaa zikishuka na huduma muhimu za kijamii zikiboreshwa na siyo huo utopolo wao

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
Ukiwazacho wewe si kila mtu atakiwaza fanya yako kwa maisha yako na si kwa maisha ya mwenzio.
 
Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.

Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Maamuzi yoyote yatakayotolewa, Samia atabaki Samia, hawezi kuwa Angel au Joyce.
Naona Sasa kama mnamshikiza rais amwachie mtuhumiwa mmeacha kusisitiza maamuzi ya mahakama na sheria.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
kiongozi mzuri unapaswa kuwa mtulivu na sio kupayuka payuka...mmeshazungumza, mlichozungumza mnajua wenyewe, unaanza kupayuka payuka kila kukicha matokeo yake mliozungumza wataona unawapa amri sasa au kuwaoverride..
Atake asitake lazma mama anywe hiki kikombe cha Lissu, leo mahakama isipomkuta na hatia Mh. Mbowe basi Lissu ndio ataonekana mshindi kwa hili..
 
TAL ni mwanasheria mbobezi na mwenye ufahamu wa kutosha sana. Kuna ujumbe abajaribu kumpa mama maana huko kijanj hawayapendi haya
Kweli kabisa hawalipendi hili lililotokea. Hata magazeti yao hayajaandika habari hizo leo wakati mengine ni habari kuu
View attachment 2122576View attachment 2122577View attachment 2122578
millardayo-___CaGRY2VNZDs___-4.jpg
 
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.

Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.

Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.

Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.

Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.

Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.

Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.

Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Mnataka kum-blackmail rais kwa rundo la masharti. Siri ya Mbowe kukaa jela muda wote rais ndiye anayeifahamu, humu ndani tunayo mipaka yetu ya ufahamu isiyoweza kulingana na kile anachokijua rais wa nchi.

Tupunguze mihemko, mamlaka zote zipo chini ya rais.
 
Huyu gaidi afungwe harahara kwasababu mate yamekuwa mengi kwa wanaharakati uchwara...ushahidi umenyooka hivyo alafu hawa watu wa space wanajitoa ufahamu...

Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele hatashugulikiwa..iwefundisho kwa vizazi vijavyo.
Rudi darasani ukajifunze kuandika
 
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.

Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.

Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.

Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.

Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.

Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.

Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.

Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Hii kichwa hapana aisee😀🙌✌
 
Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
Ila CCM kufanya mikutano na kuwarundika wanafunzi wa sekondari Ni sawa
 
Ukweli ndio huo Samia aamue kusuka au kunyoa, alichofanya Lissu kwenye mazungumzo yao kumuomba hiki na kile ni kumpa heshima kama mkuu wa nchi, kama akiikataa heshima aliyopewa Lissu atafanya anachostahili sababu ni haki yake hajavunja sheria yoyote.
Kwa hiki anachoendelea kufanya Lissu hatuwezi kusema kwamba yale mazungumzo yake na rais ilikuwa ni kumpa heshima kama mkuu wa nchi, bali kinachoonesha hapa ni kama Lissu kampa maagizo rais ya nini afanye.

Kwahiyo picha inayoendelea ni huyo mkuu wa nchi kufanya kama alivyoagizwa na Lissu au agome kutekeleza maelekezo ya Lissu.
 
Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.

Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Maana yake awe kiongozi bora kama Angela Markel au awe bomu kama Joyce Banda. Uamuzi ni wake.
 
Kwa hiki anachoendelea kufanya Lissu hatuwezi kusema kwamba yale mazungumzo yake na rais ilikuwa ni kumpa heshima kama mkuu wa nchi, bali kinachoonesha hapa ni kama Lissu kampa maagizo rais ya nini afanye.

Kwahiyo picha inayoendelea ni huyo mkuu wa nchi kufanya kama alivyoagizwa na Lissu au agome kutekeleza maelekezo ya Lissu.
Swala la katiba mpya sio Option

Alichokiongea Lissu kina ubaya gani?

Watu roho mbaya mmefura
 
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.

Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.

Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.

Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.

Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.

Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.

Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.

Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Jamaa ana akili sn huyu
 
Back
Top Bottom