Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati njema ya Lissu kuponyoka mysteriously kutoka kwenye mdomo wa kifo kumemfanya awe na moyo sugu. Kifo na uhai kwake havina tofauti.Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Mimi ningeamini waliyojadili kama nikiona video. Bila video siwezi kuamini.
Mwenye masikio na asikie, mwenye akili na aeleweasipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua
Mimi ningeamini waliyojadili kama nikiona video. Bila video siwezi kuamini.
Hivi ni shida za maisha zinafanya watu wanakosa akili au? AsprinHuyu gaidi afungwe harahara kwasababu mate yamekuwa mengi kwa wanaharakati uchwara...ushahidi umenyooka hivyo alafu hawa watu wa space wanajitoa ufahamu...
Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele hatashugulikiwa..iwefundisho kwa vizazi vijavyo.
Akili yako imejaa matope hakika.Lissu amechanganyikiwa.
KInyeo chako kinawashaHuyu gaidi afungwe harahara kwasababu mate yamekuwa mengi kwa wanaharakati uchwara...ushahidi umenyooka hivyo alafu hawa watu wa space wanajitoa ufahamu...
Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele hatashugulikiwa..iwefundisho kwa vizazi vijavyo.
Aliokota embe chini ya mwarobaini halafu uchaguzi mkuu kimbunga kikapita nae.Joyce Banda alikuwaje?
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.
Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.
Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.
Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.
Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.
Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.
Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Tatizo lenu Machangu doaHuyu gaidi afungwe harahara kwasababu mate yamekuwa mengi kwa wanaharakati uchwara...ushahidi umenyooka hivyo alafu hawa watu wa space wanajitoa ufahamu...
Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele hatashugulikiwa..iwefundisho kwa vizazi vijavyo.
Lisu ni mbobezi katika sheria, je unaamini kwamba hakufuata utaratibu wakuomba passport mpya kabla hajakutana na rais?Kwahiyo aingilie uhuru wa Mahakama.
Swala la Passport nalo ni issue ya kumwambia rais ? Hata kamishina wa uhamiaji angemuambia awaone vijana wake.
Naungana na askofu Bagonza iko issue kwa kichwa huyu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Lissu amechanganyikiwa.
kesi hii ya kipumbavu isingepata nafasi hata ya kusikilizwa na mahakamaMarkel hakuingilia mahakama kufuta kesi… labda Joyce Banda alifanya hivyo
Samia will be markel on this one for sure
zito hakunyoosha maneno kama lisuLisu afuata nyayo za Zitto kumuombea Mbowe kwa Raisi.
kwa ushahidi ule kesi haipo so ilikua sahihi mbowe aachiweLissu is naturally arrogant, huwezi tumia lugha hiyo kuongea na Mh. Rais yeyote yule..
Huwezi mlazimisha Mh. Rais afanye anayotaka Lissu. By the way who is Lissu?
1: Mikutano ya kisiasa kabla ya muda wa kampeni hilo halipo milele, ataozea jela Lissu, na Lissu alivyomuoga atakimbia nchi hata kabla hajakamatwa.
2: Katiba Mpya, sio kitu cha kukurupuka na kuanza, ina mambo mengi, mojawapo ni fedha, na kama haipo katika priority Mh. Rais huwezi kum force afanye.
3: Eti amuachie Mbowe, kwani Mbowe kakamatwa na Mh. Rais? Makosa ya Mbowe ni kabla hata Mh. Samia hajawa Rais wa nchi yetu. Hivi nyie watu mnaelewa au kazi kupiga kelele tu. Kesi mnasikiliza, mashtaka ya Mbowe ni kabla hata Samia hajawa Rais, sasa Samia amuachie kwa lipi?