Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

kichwa kibovo hiki yaani huon muhim wa katiba na huu muingiliano wa mihimili kweli? inasikitisha
 
Mkuu usiwe na shaka. Kwenye hii kesi, Serikali imejipanga vizuri kwakuwa ulinzi na usalama kwa raia ndio msingi wa Serikali yoyote duniani.
 
Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
Wenye akili timamu wanaelewa umuhimu wa mikutano katika kujenga mazingira rafiki na wezeshi ya ujenzi wa uchumi na biashara.

Punguani wanadhani unaweza kuwa na uchumi mzuri bila mifumo mizuri ya kusimamia uchumi ambayo ni matokeo ya shughuli za kisiasa.
 
Wewe ni mzima kweli? Ni makosa gani ambayo Mbowe aliyafanya? Nani aliyemshtaki Mbowe?

Hujui kuwa mlalamikaji ni Serikali? Nani msimamizi au kiongozi wa Serikali. Kuwekwa ndani Mbowe ni matakwa ya Samia kwa 100%. Yeye ndiye mlalamikaji. Mlalamikaji akiamua kuondoa malalamiko yake bandia, kuna mtu atamlazimisha?
 
Punguani hujua uhusiano uliopo kati ya huduma na shughuli za kisiasa.

Ukiwa mjinga kiasi kama hiki cha kwako, ni vema ukanyamaza ili watu wasijue kuwa una ujinga wa kiwango hicho. Tumia zaidi muda wako kujifunza kutoka kwa wengine. Inaonekana uelewa wako ni mdogo sana.
 
Kwa hiyo mwanasheria anayesifiwa, anataka rais aingilie maamuzi ya mahakama? He must be rubbish!
Unhekuwa na akili japo kidogo sana, ungetafakari pale Rais aliposema kuwa tumefuta kesi zote dhidi ya Lisu. Kuna mahali ulisikia amesema kuwa mahakama imefuta?
 
Huyo Shoga Lissu asitutishe akipenda kurudi Tanzania arudi hataki aache kwani sisi tulioko Tanzania tulikwishahakikishiwa usalama mbona tunaishi yeye ni nani hadi ahakikishiwe usalama wake binafsi? Asidhani alikuwa anaongea na poyoyo bali Chifu ni muelewa na ataleta jambo hilo ndani ya vikao vya CCM na litazimwa maana CCM si Kama Chadema chama cha mtu mmoja
 
It’s all about him

Unfortunately haimsaidii

Inamdumaza
Namhurumia sana Lisu,, anyway ukorofi anso tangu yuko primary, haya maneno yake yameondoa kabisa mwelekeo wa diplomatic approach,,,
Hao wazungu wasimdanganye sana, [emoji23],atakuja kula pin na hao anaowategemea hawatamsaidia
 
kichwa kibovo hiki yaani huon muhim wa katiba na huu muingiliano wa mihimili kweli? inasikitisha
Umekaririshwa maneno ya wachumia tumbo ukiambiwa katiba ya sasa inamapungufu gani hujui chochote mfata mkumbo tu,muingiliano wa kishabiki usio na hoja zenye mashiko.
 
Lisu nae keshaonana na Rais wameongea bado tena anaanza kupuyanga maneno kama mlevi.
 
Wewe na Punguani wenzio ndio mnataka kutuletea mikutano ya kisiasa ambayo inazaa ugaidi, magonjwa ya kuambukizana na uvivu wa kufafuta Pesa,

Vijana wa Kileo washaukataa huo Upunguani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…