residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,146 Reaction score 11,434 Aug 13, 2023 #81 FaizaFoxy said: Huyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania. Click to expand... Na wewe unatumiwa na ISIS au BOKO HARAM!!!?
FaizaFoxy said: Huyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania. Click to expand... Na wewe unatumiwa na ISIS au BOKO HARAM!!!?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 13, 2023 #82 Saguda47 said: Mlimsifu sana "MAMA" huyu ndugu hafai kuongoza taifa kubwa kama hili ameshindwa! Click to expand... Huyu alifit sn kwenye cheo chake cha Makamu
Saguda47 said: Mlimsifu sana "MAMA" huyu ndugu hafai kuongoza taifa kubwa kama hili ameshindwa! Click to expand... Huyu alifit sn kwenye cheo chake cha Makamu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 13, 2023 #83 ngara23 said: Wewe Tanzania unaitakia mema gani? Watu wasikosoe? Hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, Tanganyika ndio nyumbani, tutasifu na kukosoa. Acha udikteta. Click to expand... Tanganyika tutaipambania bila kuogopa
ngara23 said: Wewe Tanzania unaitakia mema gani? Watu wasikosoe? Hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, Tanganyika ndio nyumbani, tutasifu na kukosoa. Acha udikteta. Click to expand... Tanganyika tutaipambania bila kuogopa
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Aug 13, 2023 #84 residentura said: Na wewe unatumiwa na ISIS au BOKO HARAM!!!? Click to expand... Hao nnawasoma kwenye mitandao kama unavyowasoma wewe.
residentura said: Na wewe unatumiwa na ISIS au BOKO HARAM!!!? Click to expand... Hao nnawasoma kwenye mitandao kama unavyowasoma wewe.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Aug 13, 2023 #85 Mto wa mbu said: Ng'ombe Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app Click to expand... Tena hata ng'ombe nahisi wana afadhali, wanatupa nyama, maziwa, mbolea, gundi, viatu, mikanda. Ng'ombe ni wema sana.
Mto wa mbu said: Ng'ombe Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app Click to expand... Tena hata ng'ombe nahisi wana afadhali, wanatupa nyama, maziwa, mbolea, gundi, viatu, mikanda. Ng'ombe ni wema sana.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Aug 13, 2023 #86 Bejamini Netanyahu said: Tanganyika tutaipambania bila kuogopa Click to expand... Siyo nyuma ya keyboard.
Bejamini Netanyahu said: Tanganyika tutaipambania bila kuogopa Click to expand... Siyo nyuma ya keyboard.
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Aug 13, 2023 #87 Unazeeka v FaizaFoxy said: Siyo nyuma ya keyboard. Click to expand... unazeekea vibaya sna feizali but
Unazeeka v FaizaFoxy said: Siyo nyuma ya keyboard. Click to expand... unazeekea vibaya sna feizali but