residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Na wewe unatumiwa na ISIS au BOKO HARAM!!!?Huyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unatumiwa na ISIS au BOKO HARAM!!!?Huyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Huyu alifit sn kwenye cheo chake cha MakamuMlimsifu sana "MAMA" huyu ndugu hafai kuongoza taifa kubwa kama hili ameshindwa!
Tanganyika tutaipambania bila kuogopaWewe Tanzania unaitakia mema gani? Watu wasikosoe?
Hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, Tanganyika ndio nyumbani, tutasifu na kukosoa.
Acha udikteta.
Hao nnawasoma kwenye mitandao kama unavyowasoma wewe.Na wewe unatumiwa na ISIS au BOKO HARAM!!!?
Tena hata ng'ombe nahisi wana afadhali, wanatupa nyama, maziwa, mbolea, gundi, viatu, mikanda. Ng'ombe ni wema sana.
Siyo nyuma ya keyboard.Tanganyika tutaipambania bila kuogopa
unazeekea vibaya sna feizali butSiyo nyuma ya keyboard.