Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula, Mbowe na Maalim Seif jukwaa moja wilayani Hai leo

Binafsi hawa viongozi wa dini wanaopanda majukwaani iwe chadema au sisiemu nikukosa weledi wa viapo vyao.

Huu ujinga na upumbavu utatuharibia nchi na kuanza kubaguana
 
Binafsi hawa viongozi wa dini wanaopanda majukwaani iwe chadema au sisiemu nikukosa weledi wa viapo vyao.

Huu ujinga na upumbavu utatuharibia nchi na kuanza kubaguana
Walifikiri ni sifa, kuna Wachungaji waliitana Dodoma wakaeleza msimamo wao kuunga mkoni Giza ambayo ni CCm, Bakwata si mara moja wamefanya waliofanya Wachungaji ! Hili la Lissu ni akili kubwa Yule Mahera hawezi kuinua domo lake asilani.
 
mimi pia nasambaza maupendo kama yote..tena hio tarehe 28 tukitoka mimi na wewe kumpigia kura Rais Lissu tutapita mahali tukajipongeze kwa bia na nyama
 
Hayo ni maneno ya MFA MAJI, haachi kutapatapa na yuko tayari hata KUFA NA MTU! Jamani kaeni chonjo msije mkafiwa na watu humu JF!
Nasikia bwana Sabaya amejiandaaa kwa vulugu leo hai kitanuka. #Sasabasi2020 #Tundulissu #maendeleo ya watu na huru
Yaaah wakienda kwa shari, sheria lazima ichukue mkondo wake bila KUPEPESA MACHO!
 
mimi pia nasambaza maupendo kama yote..tena hio tarehe 28 tukitoka mimi na wewe kumpigia kura Rais Lissu tutapita mahali tukajipongeze kwa bia na nyama

πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’―
 
Binafsi hawa viongozi wa dini wanaopanda majukwaani iwe chadema au sisiemu nikukosa weledi wa viapo vyao.

Huu ujinga na upumbavu utatuharibia nchi na kuanza kubaguana
Nilivyoanza kuona kila jukwaa eti mtu mmoja anaombea mikutano kwa salaam za dini zote;
Bwana asifiwe
Mwanakondoo ameshinda,
Asalaam Aleikhum
Nikajua tayari mambo yanaelekea kuzimu.
 
Ponda anaungana na Chadema anazidi kujishusha hadhi yake ya ushekhe,kamfata Sheikh Katimba mpiga hela za Chadema wa milele.
 
Patachimbika, nahisi mgombea wetu atalazwa leo na hivo afya yake ya mgogoro, sio kwa combination hiyo
 
Hahaha umemsahau Magufuli naye atakuwepo jukwaani leo.
 
Ushindi kwa JPM upo pale pale ni vyema hizi salamu ziwafikie hapo Hai.

Oktoba 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…