Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula, Mbowe na Maalim Seif jukwaa moja wilayani Hai leo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula, Mbowe na Maalim Seif jukwaa moja wilayani Hai leo

Mbona hapa Moshi mjini gari la CHADEMA linapita likitangaza Lissu atakuja uwanja wa mashuja na chopa. Sasa na tarifa za huko Hai zimekaje.
Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar maalim Seif.

Kipenzi cha watanzania Dkt. Magufuli akiwa na komredi Polepole wao wanaanzia Bagamoyo mkoani Pwani wakielekea Korogwe Tanga.

Habari ndio hiyo, kumeshakucha!

Maendeleo hayana vyama.
 
we kichaaa wewe sio mzima acha upumbavu
Sisi waislamu kuanzia sasa atunaimani na Ponda Issa Ponda,kakubali kuacha ushee kwasababu ya pesa za Chadema.
Tutabaki na Shehe wetu kipenzi Shehe Kipoozeo na wengine.
 
Hawezi kuwa Rais.. wananchi hatutaki wanaolalamika na kukimbilia mawakili wa ulaya badala ya kuwa mzalendo na kuwapa kazi wa hapa nchini.

Waambie wamalize salama utalii.. naona maneno mengi.. wanajipeleka kuvunja kanuni.. msilie waambueni wapunguze udaku

Nasambaza lavu kwako 💚💛💚💛💚😃
Its tactical move kuwa na foreign lawyers huku kwetu wanawatishatisha ndio maana hakuwapa hicho kibarua .....yakusema hawezi kuwa kuwa rais unakosea mungu ni game changer hatari kwamfano hadi leo siamini Paul Makonda aka Daud Bashite angeondolewa kwenye ukuu wa Dar sasahivi analandalanda tuu kama wewe mitandaoni.
 
Mungu awalinde maana atujui Sabaya skaandaa nini Leo huko, mdihibitini asilete maafa
 
Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar maalim Seif...
Umeanza kulegeaaaaa!! weweeeee rudi kundini!!!
 
Walifikiri ni sifa, kuna Wachungaji waliitana Dodoma wakaeleza msimamo wao kuunga mkoni Giza ambayo ni CCm, Bakwata si mara moja wamefanya waliofanya Wachungaji ! Hili la Lissu ni akili kubwa Yule Mahera hawezi kuinua domo lake asilani.
Ccm ukichimama nchale! ukikaa nchale!! Lisu huyoooooo ikulu!!
 
Binafsi hawa viongozi wa dini wanaopanda majukwaani iwe chadema au sisiemu nikukosa weledi wa viapo vyao.

Huu ujinga na upumbavu utatuharibia nchi na kuanza kubaguana
Mashekh wanafiki wa BAKWATA waliokua wanampigia kampeni jiwe mlikuakimya Leo tulieni dawa iingie
 
Binafsi hawa viongozi wa dini wanaopanda majukwaani iwe chadema au sisiemu nikukosa weledi wa viapo vyao.

Huu ujinga na upumbavu utatuharibia nchi na kuanza kubaguana
Ujue kuna anagombea wachungaji Gwajima na Msigwa. Mufti wa DSM naye juzi alisema kitu eti. Nikajiuliza hii ni sawa?. Chadema wakajibu mapipo baadaye wakamleta Linda. Jino kwa Jina.

Chama changu CCM sijui mnakwama wapi? Kila Konde linapanguliwa kwa KO.
 
Ushindi kwa JPM upo pale pale ni vyema hizi salamu ziwafikie hapo Hai.

October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kweli kabisa ila tayari nina hofu kubwa maana yanayoongelewa mtaani ni tofauti na sisi wanachama tunavyojua kichwani petu. Siamini.
 
Hao viongozi wa dini (Ponda na Mwamakula) nao pia watapanda jukwaani?
 
Back
Top Bottom