Shekh ponda tena! He sasa CDM ndio mnajimaliza kabisa katika dakika za mwisho. Nadhani hata zile asilimia20 mnaweza msipate. Shekh Ponda anaenda kuwazofisha kabisa. Usicheze na udini katika kampeni za wabongo acheni hiyo kitu. Shekh Ponda anakwenda kufuta kura zote za lisu. If you don't believe my ward wait and see keep on using that man on your campaign!?Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar maalim Seif.
Kipenzi cha Watanzania Dkt. Magufuli akiwa na komredi Polepole wao wanaanzia Bagamoyo mkoani Pwani wakielekea Korogwe Tanga.
Habari ndio hiyo, kumeshakucha!
Maendeleo hayana vyama.