Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nimekuelewa bwashee 100
Na hapo ndiyo ujinga ulianziaNilivyoanza kuona kila jukwaa eti mtu mmoja anaombea mikutano kwa salaam za dini zote;
Bwana asifiwe
Mwanakondoo ameshinda,
Asalaam Aleikhum
Nikajua tayari mambo yanaelekea kuzimu.
Huwa namuaminia sana Kanali Ole sabaya hapo machame bwashee!tulia sindano ikuingie Comrade John.
Unajua maana ya uchocheziManeno yoyote ya uchochezi hayatavumiliwa!
OCD atakuwepo!Unajua maana ya uchochezi
Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar maalim Seif.
Kipenzi cha watanzania Dkt. Magufuli akiwa na komredi Polepole wao wanaanzia Bagamoyo mkoani Pwani wakielekea Korogwe Tanga.
Habari ndio hiyo, kumeshakucha!
Maendeleo hayana vyama.
Sisi waislamu kuanzia sasa atunaimani na Ponda Issa Ponda,kakubali kuacha ushee kwasababu ya pesa za Chadema.we kichaaa wewe sio mzima acha upumbavu
leo ndiyo utagundua kuwa unayemuamini anayezidiwa akili hata na beki tatu wako.Huwa namuaminia sana Kanali Ole sabaya hapo machame bwashee!
Its tactical move kuwa na foreign lawyers huku kwetu wanawatishatisha ndio maana hakuwapa hicho kibarua .....yakusema hawezi kuwa kuwa rais unakosea mungu ni game changer hatari kwamfano hadi leo siamini Paul Makonda aka Daud Bashite angeondolewa kwenye ukuu wa Dar sasahivi analandalanda tuu kama wewe mitandaoni.Hawezi kuwa Rais.. wananchi hatutaki wanaolalamika na kukimbilia mawakili wa ulaya badala ya kuwa mzalendo na kuwapa kazi wa hapa nchini.
Waambie wamalize salama utalii.. naona maneno mengi.. wanajipeleka kuvunja kanuni.. msilie waambueni wapunguze udaku
Nasambaza lavu kwako 💚💛💚💛💚😃
Umeanza kulegeaaaaa!! weweeeee rudi kundini!!!Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar maalim Seif...
Huyo dogo hana madhara!! ni sawa na nyuki wa mashineni!!Kanali Dr Ole sabaya!
We unakuwa unaumwa kichwa!! kichwa chako hikituliii!!Lazima wanalia nyuma ya pazia...maana utalii wao ndio unaishia hivyo...
Hai huko.. waage vizuri..
Magufuli Oyeeeee
Ccm ukichimama nchale! ukikaa nchale!! Lisu huyoooooo ikulu!!Walifikiri ni sifa, kuna Wachungaji waliitana Dodoma wakaeleza msimamo wao kuunga mkoni Giza ambayo ni CCm, Bakwata si mara moja wamefanya waliofanya Wachungaji ! Hili la Lissu ni akili kubwa Yule Mahera hawezi kuinua domo lake asilani.
Mashekh wanafiki wa BAKWATA waliokua wanampigia kampeni jiwe mlikuakimya Leo tulieni dawa iingieBinafsi hawa viongozi wa dini wanaopanda majukwaani iwe chadema au sisiemu nikukosa weledi wa viapo vyao.
Huu ujinga na upumbavu utatuharibia nchi na kuanza kubaguana
Ujue kuna anagombea wachungaji Gwajima na Msigwa. Mufti wa DSM naye juzi alisema kitu eti. Nikajiuliza hii ni sawa?. Chadema wakajibu mapipo baadaye wakamleta Linda. Jino kwa Jina.Binafsi hawa viongozi wa dini wanaopanda majukwaani iwe chadema au sisiemu nikukosa weledi wa viapo vyao.
Huu ujinga na upumbavu utatuharibia nchi na kuanza kubaguana
Thread yake ikoje maana ipo. YouTube tutaangalia viewers na comments.Hahaha umemsahau Magufuli naye atakuwepo jukwaani leo.
Kweli kabisa ila tayari nina hofu kubwa maana yanayoongelewa mtaani ni tofauti na sisi wanachama tunavyojua kichwani petu. Siamini.Ushindi kwa JPM upo pale pale ni vyema hizi salamu ziwafikie hapo Hai.
October 28th tujitokeze kwa wingi tukampe kura za ndio JPM.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
SawaIkate Gogo kabisa.