Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula, Mbowe na Maalim Seif jukwaa moja wilayani Hai leo

Nasikia bwana Sabaya amejiandaaa kwa vulugu leo hai kitanuka. #Sasabasi2020 #Tundulissu #maendeleo ya watu na huru
HAWEZI KUFANYA CHOCHOTE LEO, ALIKUA ANAACHWA ACHWA TU KIPINDI KILE NAMBA MOJA ALIZUIA SIASA.
 
Tukimpa kazi fatma karume mnabana sasa wafanyeje?
 
Binafsi siungi mkono kiongozi yoyote wa dini kupanda jukwaani wakati hajajitambulisha kuwa ni mwanasiasa
 
Magu ni adui namba 1 wa watanzania, apigwe.
 
Hiyo combination huko Hai ni sawa na kumpiga nyoka kichwani, lazima afe.
Ndiyo maana wanataafutana na kutoa matamko lukuki,wameshikwa pabaya tunaona nyeti....Upepo unavuma kwa kasi kubwa hili ni gharika,Ni Yeye 2020 TAL.
 
Iwe sisiemu,chadema au chochote kinachofanya upuuzi wa kutumia viongozi wa dini na wafuasi kushangilia kama mazuzu.....ni ujinga mtupu
Wewe upo chama gani?
Je hujui ANC kule sauzi ilikua inamtumia Askofu Desmond Tutu?
Je hujui Mwalimu alikua anatumia kina Shekh Takadiri katika kudai uhuru?
 
Wewe upo chama gani?
Je hujui ANC kule sauzi ilikua inamtumia Askofu Desmond Tutu?
Je hujui Mwalimu alikua anatumia kina Shekh Takadiri katika kudai uhuru?
Acha kufananisha ujinga unaofanyika nchini saizi na walichofanya wale wakombozi wa Africa.

Mavyama yote takataka tu,hakuna mwanasiasa anayepambania maslahi ya wananchi, wote wanapambania maslahi yao tu
 
Combi ya Lissu Ponda na Mbowe yamfanya Ole sabaya aingie mitini na kuufyata kama mbwa koko

Interahamwe wake nao wasambaratishwa
 
Binafsi hawa viongozi wa dini wanaopanda majukwaani iwe chadema au sisiemu nikukosa weledi wa viapo vyao.

Huu ujinga na upumbavu utatuharibia nchi na kuanza kubaguana
CCM wangejiuliza kwanza kabla ya kuanza kuwaingiza Akina Kwakatare (RIP) na Akina Askofu Gwajima.

Kama Gwajima anapanda jukwaani kwa nini Ponda asipande.
 
CCM wangejiuliza kwanza kabla ya kuanza kuwaingiza Akina Kwakatare (RIP) na Akina Askofu Gwajima.

Kama Gwajima anapanda jukwaani kwa nini Ponda asipande.
Sina tatizo na wale waliojitokeza na kudeclare kuwa wao watafanya siasa......ila kinachonikera ni wale wanatumika wakati hawajatwambia kuwa wameamua kufanya hivyo......
 
Thread yake ikoje maana ipo. YouTube tutaangalia viewers na comments.
Kaomba apande jukwaa la Chadema, kachoka kuongea na watoto wa primary wanaojazwa kwenye mikutano yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…