Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula, Mbowe na Maalim Seif jukwaa moja wilayani Hai leo

Shekh ponda tena! He sasa CDM ndio mnajimaliza kabisa katika dakika za mwisho. Nadhani hata zile asilimia20 mnaweza msipate. Shekh Ponda anaenda kuwazofisha kabisa. Usicheze na udini katika kampeni za wabongo acheni hiyo kitu. Shekh Ponda anakwenda kufuta kura zote za lisu. If you don't believe my ward wait and see keep on using that man on your campaign!?
 
Na hapo ndiyo ujinga ulianzia
Hai kunani tena! Au mheshimia ameahapima upepo amegundua hali siyo shwari ameamua kukodi majeshi ili aweze angalau kukomboa Jimbo. Haya subiri tuone akishindwa itakua aibu kubwa kwa mwenyekiti wa CDM.
 
Huwa namuaminia sana Kanali Ole sabaya hapo machame bwashee!
Wote wanaohamasisha ukiukwaji wa haki,na kufurahia maovu wanawapa nguvu wapenda haki,na hamasa ya haki zaidi, tukumbuke Tanzania ni yetu wote, na Sheria zipo sii kwa Tanaka Fulani Ila kwa ajili ya wote.
 
Chama mbogamboga wangekuwa wa Kwanza kujimaliza,kwani unajaribu kusema kwao ni sawa Ila kwa wengine ni haramu.
 
Chama mbogamboga wangekuwa wa Kwanza kujimaliza,kwani unajaribu kusema kwao ni sawa Ila kwa wengine ni haramu.
Tena mjiandae na majibu kwa msajili ili baada ya uchaguzi kwanini CDM isifutwe. Tofautishwa kuombea dua katika mikutano ya kampeni ambapo vyama vyote vinafanya. Kwakua mkurugenzi wa uchaguzi amesema mnapenda chokochoko sidhani kama watawaonya bali tusubiri baada ya uchaguzi tutaelewana.
 
Kama anauhakika Kuna makosa afanye uamuzi,Sasa ila makosa hayo yasiwe ni Yale yenye lengo la kumbeba huyu na kumdidimiza yule.
 
Huyo mpuuzi ashukuru sana mzee Mbowe ana busara sana, angekuwa huku kiumeni angekuwa alishakimbia huyo mpuuzi wenu sabaya
 
Afute aone kama patakalika, tutagawana mbao
 
Mtalia nyie na waume zenu ...Lissu ndie Rais wa Tanzania
Mtasaga matako ila hamtashinda,
Tuonyeshe huko hai pakoje leo nasukia mmekodi mpaka maalim Sefu mnadhani ataongeza kitu.
 
Kama anauhakika Kuna makosa afanye uamuzi,Sasa ila makosa hayo yasiwe ni Yale yenye lengo la kumbeba huyu na kumdidimiza yule.
Ndugu yangu CDM wameshashindwa vibaya Sana uchaguzi huu wa 2020. Wanachofanya ni CHOKOCHOKO TU zakutaka kuharibu uchaguzi na ushindi wa kimbunga wa JPM. CCM wamewashitukia kiaina ndiomana wanakimbiza kimyakimya hakuna coment wala post mpaka kieleweke wao wanasubiri Amani tu. JPM mi 5 tena kazi iendelee.
 
Wanaofanya chokochoko hawaonekani na hats haupo uthubutu wakuwaonya,kwani wao vyote vyao,si Sheria pamoja na vinavyoambatana navyo.
 
Mtasaga matako ila hamtashinda,
Tuonyeshe huko hai pakoje leo nasukia mmekodi mpaka maalim Sefu mnadhani ataongeza kitu.
tuliza mshono bibie ..msubirie shem hapo akupe hela ya kula
haya mambo huwez kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…