Tundu Lissu shujaa anayelindwa na Mungu, silaha za kibinadamu hazikuweza kutoa uhai wake

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria.

Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi zaidi ya 33. Mungu kwa kuonesha ukuu wake alilinda uhai wake.

Kama ni ishu za kisheria au kisiasa kama Lissu ni mweupe mngelimjibu kisheria na kisiasa zaidi, sio kwa kutumia mtutu wa bunduki za kivita.Lissu aliwashinda maana watanzania wengi ni wakurupukaji.

Kama mlijua kuwa hamuwezi kushitakiwa MiGA marisasi 33 ya nini?

Ok Lissu ni mtu asiyeficha hisia zake hasa juu ya kuvunjwa kwa haki za binadamu. Mnadhania silaha za kibinadamu zinaweza kuondoa uhai wa mtu anayelindawa na Mungu?

Kama mnataka kujua Lissu ni mtu mwenye Iq kubwa andaeni mdahalo nae mtapata majibu.

CC :Bishop Stephen Munga uendelee kumuombea Lissu. Mungu aendelee kumlinda na hata uhai wake utolewe kwa amri ya Mungu sio siraha za kivita.
 
Ni wakati wake sasa na mwenzake Godbless Lema kutafakari kurudi nyumbani ili kujandaa na uchaguzi mkuu wa 2025 kupitia meza ya maridhiano na Rais mpya.
 
Hapa ndo huwa nawaza ukuu wa Mungu.nashinda nalia tuuuuu!!! Hata hapa nalia tu!!

Nayahamishia kwangu nimesaidia mtu kazi akanifitini nikapata scholar ship na kazi juu nje ya nchi kimaajabu sana

Huyu jiwe alitaka afe Lisu. Akafa jiwe yeye na dadake.halafu kuna mtu anaropoka Mungu hayupooo!!

Fikiria anavotumbuliwa na nyenyere kwa hasira!!! hakutubu huyu ajili ya kiburi cha uzima.

rahisi tu angekaa nae wayamalize tu awe salama.ampe hata posho rudisha ubunge mambo yaende.

Majaliwa mtu sana nilikuwa nae pale Butimba TTC alikuwa ntu poa sana. Na hatabadirika utu wake.
 
Sina uhakika kama Majaliwa mliokuwa nae Butimba ndio huyu wa leo.
 
Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria.

Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi zaidi ya 33. Mungu kwa kuonesha ukuu wake alilinda uhai wake.

Kama ni ishu za kisheria au kisiasa kama Lissu ni mweupe mngelimjibu kisheria na kisiasa zaidi, sio kwa kutumia mtutu wa bunduki za kivita.Lissu aliwashinda maana watanzania wengi ni wakurupukaji.

Kama mlijua kuwa hamuwezi kushitakiwa MiGA marisasi 33 ya nini?

Ok Lissu ni mtu asiyeficha hisia zake hasa juu ya kuvunjwa kwa haki za binadamu. Mnadhania silaha za kibinadamu zinaweza kuondoa uhai wa mtu anayelindawa na Mungu?

Kama mnataka kujua Lissu ni mtu mwenye Iq kubwa andaeni mdahalo nae mtapata majibu.

CC :Bishop Stephen Munga uendelee kumuombea Lissu. Mungu aendelee kumlinda na hata uhai wake utolewe kwa amri ya Mungu sio siraha za kivita.
Ni wewe kweli au umedukuliwa?
 
Huwezi kujua faida zake sababu hujui umuhimu wa haki za binadamu. Kiufupi huna akili timau
Usipende kuwaita watu hawana akili timamu , jibu swali huyo mwanasheria uchwara alishafanya nini cha maana hapa nchini?. Halafu ukumbuke huyo anajuta katika maisha yake laiti ungeweza kujua mapito anayoyapitia usingekuja hata na kuanza kuimba mapambio eti shujaa.
 
Hotuba ilishaandaliwa na bunge
Na baada ya jaribio kushindikana basi hata wangejifanya wanafanya uchunguzi japo kinafiki, lakini ule ukimya ulionyesha masikitiko yao na wakaanza na awamu ya pili ya kumyanganya Lissu Ubunge na kumyima na kumzulumu HAKI zake.

Acheni Mungu aitwe Mungu.
 
Bado mmoja tunamtarajia mwaka huu
 
Back
Top Bottom