Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria.
Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi zaidi ya 33. Mungu kwa kuonesha ukuu wake alilinda uhai wake.
Kama ni ishu za kisheria au kisiasa kama Lissu ni mweupe mngelimjibu kisheria na kisiasa zaidi, sio kwa kutumia mtutu wa bunduki za kivita.Lissu aliwashinda maana watanzania wengi ni wakurupukaji.
Kama mlijua kuwa hamuwezi kushitakiwa MiGA marisasi 33 ya nini?
Ok Lissu ni mtu asiyeficha hisia zake hasa juu ya kuvunjwa kwa haki za binadamu. Mnadhania silaha za kibinadamu zinaweza kuondoa uhai wa mtu anayelindawa na Mungu?
Kama mnataka kujua Lissu ni mtu mwenye Iq kubwa andaeni mdahalo nae mtapata majibu.
CC :Bishop Stephen Munga uendelee kumuombea Lissu. Mungu aendelee kumlinda na hata uhai wake utolewe kwa amri ya Mungu sio siraha za kivita.