Nakazia✊📍Upepo haufutwi hata kidogo. Jaribu kufikiri kabla ya kuandika.
HAWAWEZI KUMFUTA NG'OO!
IWE MVUA AMA JUA KILA GOTI LA MWANA-CCM akiwemo MAGUFULI lazima lipigwe mbele ya Tundu Lissu siyo mwakani bali ni mwaka huu Oktoba 28, 2020!
Kama Risasi za AK47 na SMG 38 hazikuweza kumfuta, kipi kingine kinaweza kumfuta TL? Mahera? NEC? au nani?