Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Maadili ya kazi yanakataza kuongea ukweli ?
 

Hahahaha ndio mnajiaminisha?
 

Kuhojiwa kisa tuhuma zimetolewa Kwa njia zisizo rasmi?
 
Kwa manufaa ya wengi acha siri zivuje tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sima, kuongea saana ni haki ya kila mtu..
Hata wewe hapa jukwaani umeongea saaaana hiyo haki umeitoa wapi?.
Unategemea tukusikilize kwa wajibu upi??
 
Unless atuambie kamuona eneo la tukio hii itakua porojo tu..
 
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa?

Mkuu kama kele zake, umezisikia ni manikio tosha, hata sis wananchi tumefurahi sana alivyotufungua masikio kusu watu wanaowezekana walihusika kumshambulia. Tulitegemea serekali na vyombo vyake vitujuze lakini mapaka leo wapo kimyaa.
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.

Mkuu your black magic prediction appears to be all wrong, which in fact is not a prediction but a wishful thinking among you ccm zealots. On the contrary among sisi wananchi he is climbing higher and higher in our souls. God bless Tundu Lisu, God bless Tanzania.
 
Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.

Mkuu bashite, tayari ushapata kiwewe, hayo ni manyunyu tu, subiri mvua ya radi, mtatafuta pakushika na kukanyaga msipaone.
 
Hakuna uhusiano wa Makonda kuwa Dodoma na wewe kupigwa risasi!
Makonda anaweza kuwa Dodoma kwa mambo yake binafsi
Lakini nimefurahi umejitambua kuwa wewe ni msaliti!
Mbona uhoji Mbowe kutokuwa Ikulu siku ya ripoti ya makinikia wakati alikuwa na mwaliko?
 
Muuwaji mwingine Huyu
 
Usione watu wazima wanalia makanisani ukaamini wanalia kwa sababu wamebadili majina na hawana vyeti vya elimu tu,wanalia kwa mengi yakiwemo mabaya wanayopanga na kutekeleza dhidi ya wenzao.Lakini siku zote ubaya hauwezi kuushinda wema,watajulikana tu
 
Usione watu wazima wanalia makanisani ukaamini wanalia kwa sababu wamebadili majina na hawana vyeti vya elimu tu,wanalia kwa mengi yakiwemo mabaya wanayopanga na kutekeleza dhidi ya wenzao.Lakini siku zote ubaya hauwezi kuushinda wema,watajulikana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…