SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia nadala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Mjomba hoja nyepesi kama sufi ya tabora! Kwenda dodoma mara ngapi siyo ishu, mhusika mjuruhiwa mkuu anatoa shutuma kuwa anahisi fulani na fulani walihusika na yaliyomsibu, na siku ya hayo majanga huyu mtu anahisi alikuwa sehemu ya tukio. Ustaarabu ilikuwa makonda ahojiwe ili wamu eliminate kama suspect. Kwa maisha ya kawaida huko mitaani kwetu, ukienda kutoa ripoti polisi kuwa unahisi fulani amajaribu kukuua polisi lazima wafunge safari na huyo mtu lazima aitwe kituoni kutoa maelezo.Ni mara ngapi makonda kaenda dodoma au mara ngapi magu kayaponda majizi na mahaini kwa maneno?
Au nyie mnaona hiyo aliyotandikwa risasi tu?
Another professor entraprenyuwaa from ccmInasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia nadala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Kama hamtaki kufanya uchunguzi, mkubali kuthuhumiwa kwa kutumia ushahidi wa kimazingira.Nani aliziona hizo gari? Na zilikiwa na nani?
Kuna shida kubwa mahali. Mtaalamu mkubwa wa sheria anatoa accusation kuwa Makonda ni suspect ahojiwe sababu kasikia siku hiyo alikuwa Dodoma badala ya kuwa Dar kwenye sherehe. Ni hilo tu?Tayari wa kwanza kishatajwa.... Mpaka tutawajua wote walihusika na mchongo huu
Sent using Jamii Forums mobile app
kazi ambayo anaijutia siku zote piaSiku baada ya shambulio(tarehe 8/09/2017), alionekana Morogoro anapiga tizi majira ya asubuhi, akinyosha misuli baada ya kazi nzito jana yake...
kwakweli ni upuuzi........ hadithi za kutunga zinazofanana na ukweli... wajinga watamwamini thou
Kwani kasema uongo?Kwamba Makonda alikuwapo Dodoma na rais wa nchi alisema hayo maneno siku yeye anapigwa risasi?
Upuuzi wa hali ya juu.
lumumba ndio mnao weweseka jibuni hoja acheni maneno ya kwenye kangaHuyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa? Simba kwanza Lissu baadaye!
Wewe ndo unapatwa na mchechetoMbona unapatwa na mchecheto?
Lumumba hatuna mpango wa kutetea ndoa za jinsia moja, kamuulize Lissu aliesema serikali yake ya kusadikika itaunga mkono ushoga alipokuwa Hardtalk BBC.
Mkuu,Lumumba hatuna mpango wa kutetea ndoa za jinsia moja, kamuulize Lissu aliesema serikali yake ya kusadikika itaunga mkono ushoga alipokuwa Hardtalk BBC.
Huyu jamaa atapiga mayowe hadi sauti itamkauka. Si aende tu akashitaki umoja wa mataifa? Simba kwanza Lissu baadaye!
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
That is how criminal cases should go through mpaka tukupate mzeeTayari wa kwanza kishatajwa.... Mpaka tutawajua wote walihusika na mchongo huu
Sent using Jamii Forums mobile app