Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

Tundu Lisu alipigwa Risasi na Heri kisanduku na cyprian Musiba ambao waliambatana na Bashite Le mutuz na watu wengine wanne wasiojulikana yaani walikuwa ni watu tisa jumla waliokuwa na magari mawili Toyota vx na Nissan nyeupe
Mkuu Makonda alikufi...la nini?,huwezi kuongea bila kumtaja?,. Kila mahali ni Malyamungu Albert.. Fanya kazi mkuu, mwenzako nyota imewaka awamu hii.Mitandao inakupotezea muda.Unazidi kuwa MPUMBAVU.
 


Hints:

Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia.

Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa ni moja kuuliwa tu.

Kumbuka ripoti hiyo ilikuwa inakabidhiwa jijini Dar huku mkuu wa mkoa wa mkoa huyo hakuwepo Dar alikuwa Dodoma.

Na cha ajabu eneo analoishi hulindwana masaa 24 na askari wenye silaha ila cha ajabu hawakuwepo kabisa katika viunga vya Area D.

Lakini hao Polisi wanaotaka kunihoji mimi hawajawai kumwita wala kumuhoji Makaonda akiwa kama suspect.

Na aliyesema anafaa kufa hajawai kuulizwa juu ya kauli yake.

Wala askari waliotakiwa kuwa lindo hawajawai kuulizwa walikuwa wapi siku ya tukio na nani aliwapa amri waondoke.


MBOWE pia alikuwepo Dodoma.
 
Inasikitisha sana mwanasheria msomi anaongea kwa hisia badala ya facts.
I predict his spiral down fall even to beat the constant gravitational force.
Unaongelea FACTS zipi?? (1) Material facts au (2) facts in issue??

Uraiani tuna_deal sana na material facts na Mahakamani ndo facts in issue. Kwa kuwa yuko uraiani usichanganye facts yuko sahihi wewe km ni mwanasheria unajua hilo na yeye pia hilo analijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dereva aliwarekodi...clips zipo ndio maana wanamtaka sana..ila masikini ya Mungu..wameshakabidhi hizo footage EU..mbumbumbu alikuwa kiti cha mbele anatoa maelekezo..kavaa kofia na miwani..
Alafu Lissu unawachelewesha weka hizo clips mitandaoni uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja..
Kwa stori hizi hata kama kijiwe chako hakina kahawa lazima kijae washabiki.
Yaani jamaa anasema kabisa hakumwambia bosi wake kuwa wanafuatwa, sasa alivyoacha ku-drive na kuanza kurekodi bosi si angeshangaa na kuuliza?
Nyie mnafikiri humu kila mtu ni maandazi.
Kwahiyo hiyo itakuwa kiki kwenye uchaguzi wa local governments?
 
Kuna shida kubwa mahali. Mtaalamu mkubwa wa sheria anatoa accusation kuwa Makonda ni suspect ahojiwe sababu kasikia siku hiyo alikuwa Dodoma badala ya kuwa Dar kwenye sherehe. Ni hilo tu?
Sad enough, pembeni unasikia sauti ya supporter mmoja, “ tena alionekana kwenye SUV “
Kuna shida mahali.
Loading................
 
MBOWE pia alikuwepo Dodoma.
Acha ungese wewe mbumbumbu tambua kuwa mbowe hana uwezo wa kuondoa walinzi Getini na hawezi kung’oa cctv camera na hakupiga marufuku kuvaa T-shirt za Tundu Lisu na Dua sala na Alibadiri zote nchini
 
Kuna siku..siku hiyo yaja yote yatakua wazi na kila mtu atalipia maovu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani itokee muujiza kama wa Ghana, malawi na Zambia ambapo Rais anaweza kuugua akagariki ujue siku hiyo hiyo Maliyamungu Bashite atakunywa sumu na kujiua au atapanda ndege na kwenda kujificha Dubai au South Africa kwenye majumba yake aliyonunua huko pindi alipotaja List ya wauza Unga akakamata unga mwingi kimya kimya akampa Le mutuz kwenda kuuza China na South Africa na hizo pesa akamunulia majumba huko
 
Kwa stori hizi hata kama kijiwe chako hakina kahawa lazima kijae washabiki.
Yaani jamaa anasema kabisa hakumwambia bosi wake kuwa wanafuatwa, sasa alivyoacha ku-drive na kuanza kurekodi bosi si angeshangaa na kuuliza?
Nyie mnafikiri humu kila mtu ni maandazi.
Kwahiyo hiyo itakuwa kiki kwenye uchaguzi wa local governments?
Kwani hukuona clips ..wanafuatiliwa na Nissan Patrol nyeupe..mbona picha zilizagaa mitandaoni
 
Watu walio kuwa na Bunduki wakati Makonda Anavamia Clouse wakamatwe wahojiwe.....
 
Back
Top Bottom