Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Kwanini mtu huyo amejificha Chato?Sio kesi Kama unaupenda uhai rudisha per diem.zikatumike kupambana na Corona kwa Nini unachukua milioni 110 unatokomea nazo gizani rudisha uwe CCM au chadema rudisha haraka .Hakuna Cha kuleana Wala kubembelezana kisa wewe CCM
Kwanini amekimbilia Chato mtu huyo?Lisu apambane na yake Raisi aweza fanyia kazi popote ndani ya jamhuri ya muungano hata kichakani tofauti na mbunge .Mbunge ofisii yake Ni bungeni ndio kituu chake kazi sionkwrnye chumba Cha lockdown guess house aliko na hawara yake
Wasemaji wa Serikali ni Pole[ole, Musiba, Kibajaji, Nkamia na watajibu tu, wewe una elimu gani? mbona unaishi sebuleni kwa shemeji yako?Kumbe huyu jamaa ni mweupe hivi eti km Spika anabisha ! Spika abishe yeye amekuwa daktari?
Serikali msipoteze muda kumjibu huyu mfuasi wa Mabeberu
Ccm hakuna mtu wa kujibizana na wajinga!I wish angekuwa anatokea mtu huko CCM awe anajaribu kujibu hoja za Lissu, ajibu moja baada ya nyingine, asiruke hata moja, ingekuwa poa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama WHO ndio iliwapeleka bungeni, wape kichwa tu, pesa zirudi haraka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha za wasio na hoja zinafananaLissu anawaingiza king wabunge wa Chadema wavunje sheria ili wakose ubunge km yeye
Yapi yamemshinda pakashume wewe!Ya kwake yanamshinda Leo anashauri ya wengine!
Huyu anatafuta wafuasi wenzake, wa kutimuliwa bungeni
Chadema za kuambiwa changanya na zako Lisuu anawavimbisha kichwa tu, fuateni utaratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tapeli lingine limejificha Chato!Tundu acha kutetea utapeli, wanalipwa posho za kujikimu ili kuwawezesha kuhudhuria vikao vya bunge na si vinginevyo. Kujiweka karantini kuna taratibu zake na si mihemko ya Mbowe. Msigwa, Zitto wamekiri kuwa wapo Dar. Huu utapeli hata wewe uliutumia kukaa ubelgiji huku ukidai kulipwa stahiki za ubunge.
Mabeberu...kila ukiamka ni beberu tu unamuwaza, sababu alishakodiwa akawekwa zizini kwa ajili yako. Na tunafahamu, beberu la kukodi likija zizini haliji kula, linakuja kufanya yake.Lissu amekuwa brainwashed,
Hivi Chadema huwa wanawaza kabla ya kuchukua uamuzi?
Wanawezaje kimchagua Tundu lissu kuwa makamu mwenyekiti wakati anaishi kwa Mabeberu ? Hii Sijawahi kuona duniani
Inaamana ndani ya Chadema waliopo Tanzania Hakuna anayeweza kuwa makamu mwenyekiti ? Hivi hamjui kuwa lissu anagundu anakiharibu chama ?
Nakubaliana na weweLissu ni mgonjwa, sio vizuri kujibishana na wagonjwa!
Sent from my iPhone using JamiiForums